"Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30
Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini wametoa mechi nzuri".
Maneno ya meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar.