Ahmedy Ally: Mechi yetu na Kagera Sugar ndiyo mechi yetu ya mwisho msimu huu

Wewe soon zako tunazijua, imeisha hiyo
Nilikuwa Bize Mkubwa Nisamehewe 🤣🤣

Mechi Ni ngumu kwa Simba na Yanga wote Ngoja Nikuandikie Hapa..

Kama Simba Atakubali Kucheza (Maana Mpaka Sasa Hivi hajathibitisha Kucheza)..

Ngoja Nianze Kukuchambulia sasa..

kiaAstrolojia (Nyota na Sayari) – Tarehe 25 Juni 2025

Jua litakuwa kwenye alama ya Cancer (Kaa) maana Yake Kua Ishara ya hisia, ushindani wa kifamilia, na ari ya kulinda heshima.
kwa hiyo kwakuwa Timu hizi Mbili za Kariakoo Ni familia Moja na Zote zinalinda Heshima Maana Yake Mtifuano Ni Mkubwa sana kwa Hiyo Timu zitakuwa na ari ya kuidhinisha uhalali wao Hasa timu ya Nyumbani (Home Team)

Jua likiwa Kwenye Cancer huathiri mashabiki sana uwanja utakuwa na hisia kali, Vurugu za Hapa Na pale na matokeo yanaweza kuamuliwa na wachezaji wanaovutiwa au kuvurugwa na saikolojia ya presha... yaani Kama Timu zina Akili wasipange wachezaji wale wa Mihemko kama Kina Morison na Kina Kibu wapange wachezaji wenye Utulivu na Wasiofata Mashabiki..

Mwezi utakuwa katika Virgo, ishara ya nidhamu, mbinu, na hesabu. Timu itakayokuwa na mfumo bora wa kimchezo, nidhamu ya ulinzi, na kuepuka makosa, ndiyo itafaidi zaidi...Ndo maana Nikasisitiza Utulivu

Mars (sayari ya vita, ushindani, na ujasiri) itakuwa kwenye Gemini inaashiria mabadiliko ya kasi, maamuzi ya ghafla, na hatari ya penalti au red card kwa timu isiyo makini.

Hii ni ishara kuwa dakika za mwisho zinaweza kubadilisha matokeo ghafla.

Sasa Twende Kwenye Numerolojia au Manamba Nambaa

Numerology

Tarehe 25/06/2025 = 2+5+0+6+2+0+2+5 = 22

22 ni namba kuu katika numerology huitwa "Master Builder".

Hii ina maana: Mechi hii itakuwa ya kujenga historia mpya, huenda matokeo yakawa ya kushangaza na ya kipekee...Yaani Matokeo Yataonyesha Historia Mpya Kwahiyo Yanga anaweza Kuchapwa Vibaya..

Pia, 22 = 2+2 = 4, namba ya uthabiti, mipango, na matokeo ya juhudi za muda mrefu.

Sasa Twende Kwenye Uchambuzi baada ya Kuandika Hayo..

Ulinganifu wa Majina:

Yanga SC = herufi 5 namba ya mabadiliko, kasi, na msukumo wa kiroho.

Simba SC = herufi 6 namba ya usawa, uaminifu, na hisia.

Katika numerolojia, Yanga huonekana kama timu yenye msisimko yaani Kimuhemuhe Presha ya Ushindi wakati Simba hutazamiwa kuwa thabiti zaidi lakini wakati mwingine huchelewa kutoa matokeo...Yaani Inaweza Ikachelewa Kutoa Matokeo Mazuri mpaka Mwishoni

Haya Sasa twende kwenye Utabiri wa Matokeo

Kwa Mujibu wa Mchanganyiko wa Sayari na Namba

YANGA SC:

Iko kwenye nafasi ya kuanza kwa nguvu sana, haswa kipindi cha kwanza. Inaweza kufunga goli mapema lakini ikashambuliwa sana kipindi cha pili.

Sayari zinasema Kuna uwezekano wa Yanga kupata goli kupitia "counter-attack" au kosa la beki wa Simba.

SIMBA SC:

Inaonekana kuwa na faida zaidi ya kimfumo, hasa katika nusu ya pili ya mchezo.

Ikiwa wataepuka red card au penalti, wanaweza kutawala kipindi cha mwisho.

Sayari ya Mercury inaathiri akili na maamuzi makocha wa Simba watahitaji kuwa werevu sana katika mabadiliko ya wachezaji...
Wakikosea Hapa tu na Penyewe watakula vichwa..

Matokeo yanaonekana kuwa hayawezi kutabirika moja kwa moja kwa bao, lakini...

Ushindi mdogoa wa goli 1 unaonekana karibu zaidi kwa Simba SC, ikiwa wataweza kutuliza presha ya dakika za mwanzo.

Lakini kama presha ya mashabiki itakuwa kubwa mno na Simba wakapata kadi au makosa ya kiakili — Yanga inaweza kushangaza kwa ushindi wa 2-1 au sare ya 1-1.

Na ndo maan Simba unaona Haitaki mashabiki zake Waingie Uwanjani kwa wingi maaan Hii wameshaisoma Na wanaogopa Presha za Mashabiki

Player wa Mechi

Kwa Yanga: Mchezaji mwenye tarehe ya kuzaliwa karibu na tarehe 2, 4, au 25 anaweza kung'aa.

Kwa Simba: Mchezaji wa alama ya nyota ya Gemini au Leo anaweza kuamua mchezo kwa hatua moja muhimu pengine pasi au goli la ushindi.

Nimemaliza Mkubwa
 
Aisee noma sana mzee Tambitambi.
Leo umeahidi na kutekeleza.

Huko kwenye kilinge umeoana simba wakiketa timu??
 
Simba wanaleta Timu Wameshacomfirm Kulefa
FB_IMG_1750842417541.jpg
 
Mwezi utakuwa katika Virgo, ishara ya nidhamu, mbinu, na hesabu. Timu itakayokuwa na mfumo bora wa kimchezo, nidhamu ya ulinzi, na kuepuka makosa, ndiyo itafaidi zaidi...Ndo maana Nikasisitiza Utulivu

Mars (sayari ya vita, ushindani, na ujasiri) itakuwa kwenye Gemini inaashiria mabadiliko ya kasi, maamuzi ya ghafla, na hatari ya penalti au red card kwa timu isiyo makini.

Hii ni ishara kuwa dakika za mwisho zinaweza kubadilisha matokeo ghafla.

YANGA SC:

Sayari zinasema Kuna uwezekano wa Yanga kupata goli kupitia "counter-attack" au kosa la beki wa Simba.

SIMBA SC:

Inaonekana kuwa na faida zaidi ya kimfumo, hasa katika nusu ya pili ya mchezo.

Ikiwa wataepuka red card au penalti, wanaweza kutawala kipindi cha mwisho.

Lakini kama presha ya mashabiki itakuwa kubwa mno na Simba wakapata kadi au makosa ya kiakili — Yanga inaweza kushangaza kwa ushindi wa 2 au sare ya 1-1.
Vishu Mtata
Hivi ndo Vilivyotabiriwa na Vikatokea
 
Back
Top Bottom