Hahah KICHAPO hakikwepeki..Simba ni club kubwa no.1 Tanzania,Africa mashariki na kati haiwezi kupangiwa na club ambayo tokea Dunia iumbwe haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF
Kama Kuna watu wanawashauri Simba kususia Mechi, Basi ni Hamnazo sana"Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30
Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini wametoa mechi nzuri".
Maneno ya meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar.
Walete timu wakandwe tena"Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30
Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini wametoa mechi nzuri".
Maneno ya meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar.
Mechi ya mwisho kuwa mwenyeji,ila derby watacheza hata kwa viboko."Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30
Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini wametoa mechi nzuri".
Maneno ya meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar.
View attachment 3378998
Umeonaa tuna subiri waingie kwenye mfumoNi mtego huo kwa Yanga ili wabweteke