Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Hii ni kwasababu Yanga hajawahi kuwa na ubora kama wa Simba, Yanga hawajawahi kufika Level na Standard yetu Simba.
Safari hii hatutakubali wapate ushindi wa dusko dusko ".
"Tunao watu wa kutuvusha salama kwenye mchezo huu. Ni wakati wao wachezaji kuandika historia kubwa kwenye Kariakoo Derby."
"Sisi kama menejimenti tunafanya kila kitu kwa upande wetu kuhakikisha tunapata ushindi, na nyie kama mashabiki fanyeni jukumu lenu kwa kununua tiketi na kuja uwanjani kushangilia timu yenu."- Ahmed Ally.
- Ahmed Ally, Afisa Habari wa Simba SC.