Yaani
snowhite ondoa shaka,
Kwanza tunaanzia Pale Tabata Ubaya Ubaya, siku Hiyo Tutapabadilisha jina patakuwa Tabata Kizunguzungu,
Afu kumbuka nilikutonya kuhusu huyo Mjane,
si alikuwa anasave ile meza iliyo karibu na Pool table!
Me nilimuona sana alivyokuwa anajishaua kutikisa Vikalio vyake.
Haloo!! haloooo!!
Yani ni Mkong'oto kwa Kwenda Mbele.
Hv shosti ushawahi Kuona Kichapo wanachotoa Wanawake walio masingle kwenda kwa mwenzao aliyeolewa?
Ndo siku hyo, Girls In Action...!!
(Kwa Msaada wa Watu wa Marekani)[/QUOTE]
ahahhahhaahah atatukoma huyu babu!af umeona alivyo mjanja eti kajichimbia sehemu kimya!kama sikosei anakula kombe huko!nakwambia atalitapika!