Wangu si unajua as lawyer unatakiwa uchunguze jambo kwa makini kabla ya kulijadili.
Nisamehe wangu!
Wangu kuwa makini na hii kesi unaweza kudaiwa compasation
Wangu twende taratibu nikipindisha bila kupata pesa ni kazi bure ni bora tutafute haki alaf tudai fidia tukishinda case!
Hebu niambie nikipi hasa nyie mnadai wangu?
Yaani snowhite ondoa shaka,
Kwanza tunaanzia Pale Tabata Ubaya Ubaya, siku Hiyo Tutapabadilisha jina patakuwa Tabata Kizunguzungu,
Afu kumbuka nilikutonya kuhusu huyo Mjane,
si alikuwa anasave ile meza iliyo karibu na Pool table!
Me nilimuona sana alivyokuwa anajishaua kutikisa Vikalio vyake.
Haloo!! haloooo!!
Yani ni Mkong'oto kwa Kwenda Mbele.
Hv shosti ushawahi Kuona Kichapo wanachotoa Wanawake walio masingle kwenda kwa mwenzao aliyeolewa?
Ndo siku hyo, Girls In Action...!! (Kwa Msaada wa Watu wa Marekani)[/QUOTE]
ahahhahhaahah atatukoma huyu babu!af umeona alivyo mjanja eti kajichimbia sehemu kimya!kama sikosei anakula kombe huko!nakwambia atalitapika!
Wewe acha longo longo..... Nilikuwa na C6 nimemteua kuwa kwenye kamati ya ndoa kama chairman....
Alikuwa ananipa mikakati ya namna ndoa itakavyokuwa... siwezi kukimbia bana... moto nikoke mwenyewe nikimbie kuota na baridi hii....
Haya washambenga na wazandiki nishawajua hapa, nimeshasema kwamba ndoa ya mitala katika ukoo wetu haikwepeki ebo,.....
Tatizo lenu snowhite na Madame B mnakuwa na jazba sana. Mie sijawasaliti nataka tu kumrudisha Mtambuzi kwenye mstari kwani hilo si ndio lengo letu? Shida yetu si ni kumtetea Mama Ngina? Maana Mtambuzi akijirekebisha tuta save mambo mengi kama vile muda na gharama za kutengeneza mabango, kulipia matarumbeta (maana nawajua nyie hammsuti mtu bila kumpelekea matarumbeta) na kuwalipa akina Gea wa hekaheka. Sasa usaliti wangu upo wapi?
Afadhali umekuwa upande wangu...
Niliyajua haya na nilijiandaa kisaikolojia kupambana nayo, muda wote nilikuwa nawasoma kama guest, na sasa nipo hapa kujibu mapigo....
Haya semeni sababu moja tu ya kunishawishi nisimuoe Mjane mama wawili... Semeni sasa.....
Tunataka Mtambuzi asifunge ndoa na Mjane wake.
Haiwezekani watu tumeshona sare,tumekodi matarumbeta,tumewaita Waandishi na wapiga picha afu mseme mnafuata sheria??! Ili Mpambano usiwepo.
Hamna hyo.
Tunataka Mtambuzi asifunge ndoa na Mjane wake.
Haiwezekani watu tumeshona sare,tumekodi matarumbeta,tumewaita Waandishi na wapiga picha afu mseme mnafuata sheria??! Ili Mpambano usiwepo.
Hamna hyo.
Nataka kujua je ni kipindi gani kimepita tangu huyo mwanamke aanze kuitwa mjane?
Mimi ni mfuasi wa dini za kale za matambiko na mizungu... kwetu tunaowa hata wake kumi kutegemeana na siha aliyo nayo muoaji...Nimeona nijitokeze maana Madame B(wangu) na snowhite nusu wanitoe macho kumbe ni tatizo lakuto log out!
Back to topic
Mama ngina kama mke halali wa mtambuzi atakuwa na haki zote kama mke according to law of marriage!
Na ndoa itategemea ni ya aina gani
*tradional
*religiou(christian, muslims)
kama ni christian mtambuzi harusiwi kuongeza mke!
*kama ni muslims- hapa mtambuzi ana haki ya kuongeza wake hadi wanne na wote wapate haki zao.
Mama ngina ana haki zote ikiwa amechuma mali na Babu mtambuzi watagawana na zile alizopewa kama zawadi na Mtambuzi zitabaki kuwa za Mama ngina!
Mali alizochuma Mtambuzi kabla ya kuona na Mama ngina zitabaki kuwa Za Babu Mtambuzi.
Acha unoko na wewe, sas anisipomuoa utamlisha wewe...
Mbona mnakuwa na viherehere hapa wakati haiwahusu, mama Ngina mwenyewe roho kwatuu mida hii yuko Ulongoni kwa wifi yake anaandaliwa kisaikolojia kuishi na mke mwenza
Kama miezi tisa sasa.....unajua amesota sana kuwalea wanae baada ya kujuana hapa JF ndo tukawasiliana na akanieleza shida yake na mimi kwa huruma nikaona numuoe ili nimpunguzie makali ya maisha....
Mimi ni mfuasi wa dini za kale za matambiko na mizungu... kwetu tunaowa hata wake kumi kutegemeana na siha aliyo nayo muoaji...
mama Ngina anajua kaolewa na mume wa aina gani shaka ondoa atanielewa tu... tatizo ni hawa wanangu na mashoga zao humu, viherehere kama nini.....
Inatuhusu.
Kwanh wanawake wasio wajane wameisha mpaka umfate Mjane?
Hakuna ndoa hapa.
Unajua sikutegemea kwamba hata wewe ungeweza kunigeuka....
Huna hata huruma kwa wajane, wewe unatarajia wasaidiwe na nani kama si wanaume kama mimi?
Afadhali umekuwa upande wangu...
Niliyajua haya na nilijiandaa kisaikolojia kupambana nayo, muda wote nilikuwa nawasoma kama guest, na sasa nipo hapa kujibu mapigo....
Haya semeni sababu moja tu ya kunishawishi nisimuoe Mjane mama wawili... Semeni sasa.....
We Mtambuzi mie sipo upande wako 100%. Mie nilikuwa nakushauri tu uachane na huo mpango wa kumwoa huyo mjane ili uepukane na ghadhabu za snowhite, Madame B and the team! Unataka sababu moja? Mie si nilshaitoa tangu hapo awali? Hauruhusiwi kuongeza mke kwa sababu ulishamuahidi mama Ngina kuwa ndoa yenu ni ya mke mmoja na ndivyo cheti cha ndoa kinavyoonesha. Sasa hizo sababu za hata babu na baba walikua na wake wengi hatuzielewi.
babu mbona kuutangaza wasifu wangu hadharani???? ila hongera babu Mtambuzi kwa kufanya yale yaliyo mema! nitakuja vikindu!