Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Weye ndio hujanisoma wala kunielewa.Unaonesha hata article hujaisoma au hujaelewa ulichokisoma.
Pia Unaonesha hata vijana wanaoifanikisha Tesla huwaelewi.
Nyie ndiyo walewale walemavu wa uelewa na kila kizuri akifanyacho fulani basi kwenu donge.
Hayo ni maradhi yaliyopo mioyoni, hatuwashangai.
...This is my point. Tuko pamoja.Hapana siamini. Pamoja na kuwa kujengwa kiwanda hutegemea sana ukaribu wa malighafi ila pia kuna sababu nyingine. Ambazo nadhani kwa Tanzania hatuna kwa sasa. kwahiyo atakapopiga hesabu zake akaona ni nafuu zaid kusafirisha malighafi ifuate hizo sababu nyingine(utaalam,teknolojia,umeme wa uhakika na hata pengine tax incentives).
Basi atafanya kile chenye unafuu kibiashara
...Alivyojibu ambaye hakuulizwa swali.Unaonesha hata article hujaisoma au hujaelewa ulichokisoma.
Pia Unaonesha hata vijana wanaoifanikisha Tesla huwaelewi.
Nyie ndiyo walewale walemavu wa uelewa na kila kizuri akifanyacho fulani basi kwenu donge.
Hayo ni maradhi yaliyopo mioyoni, hatuwashangai.
...Ni ngumu wawekezaji kuja kufungua viwanda vya betri, hapa hapa. Sababu ziko nyingi. Moja na ya muhimu, ni masoko ya bidhaa yalipo.Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua viwanda vya betri zenye ubora duniani hapa hapa Tanzania.
...Haya maneno umeyaelewa? Yanamaanisha, mzigo utasafirishwa kwenda ng'ambo.Volt Resources is targeting to become a preferred supplier of high quality large flake graphite to the emerging high technology industry.
True that......hata mimi sijawahi kuona.....ila kiswahili please...halafu haya mambo siyo ishu kwani tunaendelea kuwa masikini....hata kila mtu akiwa na mgodi wake wa madiniKwa Mara ya kwanza katika post yako sijaona neno Ccm au neno Dini..hongera sana ila hiyo post yako Ingekua kwa kiswahili ingeongeza radha zaidi...
Swali zuri sana.
Kumbuka kuwa zile safari za Kikwete bila kuchoka ndiyo zilizozaa matunda kwa kuwakinaisha wawekezaji kuwa Tanzania ni salama na waje kuwekeza katika utafiti.
Mali za chini ya ardhi bila kutafutwa hazionekani. Na hao watafutaji inabidi wakinai kwa kuwa convince usalama wao kwanza. Si rahisi kumuingiza mtu na fedha zake kwenye mapori yenye Black Mambas kufanya utafiti tena kwa fedha zake mwenyewe. Hapo uelewe kuwa ile smile ya Kikwete ilifanya kazi kubwa sana unless uwe huwezi kufikiri.