Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

Tanzania ya miaka 10 iliyopita hataree....Kweli mtu anaanzisha mfumo wa Kodi sawa n.a. TRa na anabaki salama. Tulitaka iwe Somalia?
 
The most corrupt and disgraced president this country will ever have!!! A president who shielded drug barons!!

The good thing is he didn't shield wealth explorers. Over 60 trillion cubic feet of Natural Gas, largest deposit of helium in the world, soon Oil, right now graphite. Not to forget uranium!

Kudos Kikwete.
 
Tanzania ya miaka 10 iliyopita hataree....Kweli mtu anaanzisha mfumo wa Kodi sawa n.a. TRa na anabaki salama. Tulitaka iwe Somalia?

Hiyo post yako hueleweki isije kuwa wewe ni wale wanaokunywa nishati ya kuendeshea magari.
 
Hiyo post yako hueleweki isije kuwa wewe ni wale wanaokunywa nishati ya kuendeshea magari.
Sahau JK n.a. wapambe wake...JPM ndio habari ya mjini. JK tunamuombea mapumziko mema. Wapambe mnahaha
 
Sahau JK n.a. wapambe wake...JPM ndio habari ya mjini. JK tunamuombea mapumziko mema. Wapambe mnahaha

Mbona umekuja mbio ulipoona jina lake kwenye heading?

Si rahisi kumsahau the most charming president we've ever had.
 
The Mwalimu I know was long dead before this exploration took place.

All credit in this matter goes to the best President Tanzania has ever seen, and that's no other than Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete.

problem is you and a handful of the crowd in your "family" have plunged yourselves into being blind zealots of that doctrine.

i personally don't have any issue against your "family doctrine" because I know so many people - very good people, some of them almost holy - who're subscribers to it. it's only a small bunch comprising blind zealots like yourself who shamelessly contaminates it.

for you (and those around you), this country is all about those Kariakoo wazee of old, mzee Ruksa & JK. you can't see anything beyond that. this amounts to nothing but a myopic, pathetic and zealous obsession to an otherwise very wonderful doctrine which I don't even think you comprehend that well.

girlfriend....you seriously need to go back to the basic teachings of that doctrine, short of which you'll be doing nothing but only put shame onto the "family"!
 
And what has all that got to do with Kikwete's graphite found in 2015.

Why your so called doctrine hasn't found it during his tenure which lasted for a quarter of a century, was he so unlucky or no explorer could be convinced by your's? Or was it explorers feared the food queues? Or may be there was a war in Mozambique and exploration area wasn't safe? Aah may be they were not allowed because they will see people being moved from their original settlements to the deep jungle with no basic facilities at all to start the failed villages of the failed doctrine? Eeh my dear fag girlfriend, why?
 
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona.
Nilitegemea utazungumzia matunda ya jitihada zake, lakini kuzungumzia jitihada zake wakati huu ambapo hana power, sijui efforts zitasaidiaje zaidi ya kumshauri mwenye power
 
Ndiyo maana tunamwomba Magufuli ahakikishe kwenye hii graphite viwanda vya betri za magari mapya ya umeme vinaanzishwa hapa hapa na tusiuze malighafi, watakuja tu.

Tesla motor corp.ya USA magari Yao yote yanatumia umeme wanaweza kuwa wateja wetu wazuri Kwa sababu hawapendi "walanguzi"
DadaFaizFoxy hongera Kwa kutujulisha
 
Nilitegemea utazungumzia matunda ya jitihada zake, lakini kuzungumzia jitihada zake wakati huu ambapo hana power, sijui efforts zitasaidiaje zaidi ya kumshauri mwenye power

Watanzania wengi ni wavivu sana wa kusoma, samahani sana lakini wewe ni mmoja wa hao wavivu wa kusoma.

Ulipoikopi hiyo sentensi ukienda chini yake kidogo, para inayofatia, kuna jibu la swali lako.

Soma.
 
Kikwete yupo juu sana na bado anadunda.

Ma sha Allah.

Dada FF naomba uache kujibishana na hao watu unaharibu huu uzi wako. Huu uzi ni wa kitaalam na unahusu maendeleo ya kiteknolojia (Next generation elecric cars). Na hii ni taaluma yangu na nilibahatika kufanya field yangu huko nikiwa chuo. Naomba usiuharibu. Tuongelee yaliyomo kwenye mada
 
And what has all that got to do with Kikwete's graphite found in 2015.

Why your so called doctrine hasn't found it during his tenure which lasted for a quarter of a century, was he so unlucky or no explorer could be convinced by your's? Or was it explorers feared the food queues? Or may be there was a war in Mozambique and exploration area wasn't safe? Aah may be they were not allowed because they will see people being moved from their original settlements to the deep jungle with no basic facilities at all to start the failed villages of the failed doctrine? Eeh my dear fag girlfriend, why?
unless you're dumber than I thought, which I still don't think you are....you seem to be horribly missing the whole point - the doctrine stuff. maybe I have been too philosophical, but I thought you would be equal to it.

re your argument above, JK should thank BWM (a Mwalimu's handpick) for installing the all important foundations. mzee Ruksa created a free-for-all jungle and it became messy. then came BWM who put it back on track, which we all know JK wouldn't have been able to - why? the laissez-faire stuff!
we have to count ourselves lucky - seriously lucky - that there was a BWM between mzee Ruksa & JK.
 
We are such a blessed country but with very poor human resource...
 
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona.

Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua viwanda vya betri zenye ubora duniani hapa hapa Tanzania.
Sijaelewa Rais Mstaafu ameingiaje kusifiwa kwenye hii mada na "tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli..." Sijui huo uwingi wa wanaoomba unamjumlisha mwandishi na wakina nani wengine? The heading smells of something sinister for which the writer is not bold enough to come out and point it out openly!
 
Kama unachosoma huelewi hilo ni tatizo la shule na walimu wako, si langu.

Kama shule yako haijakufundisha namna ya kutumia uwingi wa heshima pia si tatizo langu, ni amma uelewa wako au walimu wako au shule yako.

Conclusion, you are simply an uneducated fool from an uneducated school or just arrogant.

The choice is yours.
 
Mi naamini Mtwara ndio ilikuwa bustani ya Eden ya Adam na Eve/Hawa.Mbona kila madini yanapatikana huko tu?Tena malighafi nyingine hazipatikani duniani kote ila Mtwara zipo.Naiomba serikali iutangaze mkoa wa Mtwara kama mkoa "takatifu".
Najivunia kuzaliwa huko Eden.
 
Na waandishi wa habari mtakaoiandika habari hii magazetini mkumbuke credits kwa JF na FaizaFoxy aliyewajuza. Maana wengi wenu mmekalia kutafuta habari za udaku tu, habari muhimu za uchumi na malighafi inayobadilisha aina ya magari duniani ipo hapa kwetu Tanzania na yenye ubora kuliko yoyote ingine duniani nyie hamna hata habari kwa kuendeleza udaku wa kujazana ujinga tu.

Ukitulia unamwaga point zikifyatuka unamwaga upupu wa udini teuzi za mtukufu rais Magufuli
 
Back
Top Bottom