Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

Hili ni la Kikwete.

Magufuli ntampongeza atapohakikisha viwanda vya betri vinaletwa Mtwara na malighafi inatumika hapo viwandani.

Ni wakati muafaka wa Magufuli kuhakikisha tunaenda hatua kumi mbele kwa kuwakinaisha makampuni kama Tesla waje kuunda magari ya betri hapa Tanzania kwani malighafi muhimu kabisa kwa hayo magari ndiyo hiyo Kikwete katuvumbulia, sasa kazi kwetu.
Usishangae itajengwa reli kwa gharama kubwa kuliko hata gharama ya kujenga kiwanda..
 
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona.

Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua viwanda vya betri zenye ubora duniani hapa hapa Tanzania.

Mtwara kucheleeee.

Volt Resources is targeting to become a preferred supplier of high quality large flake graphite to the emerging high technology industry.

The above objective is supported by Volt:

1.Increasing and optimising our current 179Mt @ 5.1% TGC JORC Resource containing high quality Jumbo and Super Jumbo graphite in Tanzania;

2.Utilising unique skills and experience of board members, stakeholders, customers and partners to develop innovative and competitive project development solutions;

3.Targeting highest margin (i.e. revenue to cost ratio) operations amongst our peers.
Location of Namangale Project -southern Tanzania

- The Mozambican Mobile Belt represents a band of highly metamorphosed rocks extending through East Africa

- Tanzanian graphite appears to contain larger flake sizes however with lower average total graphitic carbon grades than Mozambique

- Tanzania is a very stable political and economic investment destination

- Volt has established excellent local partnerships supporting tenure and approvals

Maiden Inferred JORC Resource

- Maiden total JORC compliant Inferred Resource of 179Mt @ 5.1% TGC

- Total of 82 RC holes and 9 diamond drill holes

- Very shallow resource (<100m) / Low cost deposit to explore and mine

- Infill drilling program to commence in April 2016

- Diamond drilling test-work ongoing; focused on graphite recovery and product quality of concentrates following flotation

Namangale PFS Underway

A Pre-Feasibility Study has commenced for the Namangale Project including:

- Metallurgical testwork: Flake size and concentrate optimization underway to refine the metallurgy of the project

- Marketing: MOUs with reputable end-users signed by mid-2016

- Mine planning: Several production options being considered to identify our target market and optimal market entry production point

- Plant and infrastructure: Design work to 25% capital and operating cost accuracy

- Experienced firm Battery Limits to deliver the PFS by latest Q4 2016

- Tenure and approvals: Progressing in parallel with PFS schedule

Summary

1.Volt Resources is developing the quality Namangale graphite project in southern Tanzania - the most prospective graphite territory in the world

2.Predicted strong future demand growth for the Super Jumbo and Jumbo flake size graphite product contained at Namangale

3.Fully funded Pre-Feasibility Study to deliver a largely derisked Namagale project in 2016

4.Volt board & management have demonstrated a strong focus on delivery of commitments and targets

5.Volt's development stage represents significant value upside for resources investors interested in exposure to the future high technology industry supply chain.

To view the presentation, please visit:
http://abnnewswire.net/lnk/6T2L74Q1


About Volt Resources Ltd

Volt Resources Ltd (ASX:VRC) is a graphite exploration company listed on the Australian Stock Exchange under the ASX code VRC. The Company is focused on the exploration and development of the Jumbo Flake Namangale graphite project in Tanzania which has the potential to add to value for shareholders.

The Namangale Project is one of the largest graphite deposit in Tanzania containing a JORC compliant Inferred Resource of 179Mt @ 5.1% TGC. The project is exceptionally well located in South Eastern Tanzania being 140km from a deep-water port and 10km from sealed roads. Mineralisation at the three drilled deposits, occurs from surface and remains open in all directions. After the completion of this the recent capital raising the Company is now fully funded to complete the Pre-Feasibility Study into commencing production of high quality flake graphite targeting the rapidly expanding lithium-ion battery market. Volt has established a dominant tenement position in this extremely well located graphite rich part of Tanzania.

Source:Volt Resources Limited (ASX:VRC) Investor Presentation - March 2016

it sounds good on paper.

but a million dollar question is ....why should this be credited to Kikwete?
 
Mwenyezi mungu ametupatia kila neema muhimu
Mungu mlinde na kumpa ufahamu zaidi Rais wetu wa Tanzania
Atusaidie neema hii itunufaishe ipasavyo
 
it sounds good on paper.

but a million dollar question is ....why should this be credited to Kikwete?

Kindly go back to post #15 almost similar question was answered earlier.
 
That's the most idiotic comment I have seen in this thread so far.

Thanks for being a girlfriend girl.
nimeona kwenye thread hii wenye uwezo wa kukutukana wamekutukana na uhamaki na kulialia kweli kweli. sasa weye kutukana wenzio waona sawa, huh?

ni wale wale. ingawa chini ya regime hii naona mshaanza kuipata fresh. nimeona mmeanza kulilia % za "familia yenu" kwenye mgawo wa vyeo. na mtaisoma namba!
 
nimeona kwenye thread hii wenye uwezo wa kukutukana wamekutukana na uhamaki na kulialia kweli kweli. sasa weye kutukana wenzio waona sawa, huh?

ni wale wale. ingawa chini ya regime hii naona mshaanza kuipata fresh. nimeona mmeanza kulilia % za "familia yenu" kwenye mgawo wa vyeo. na mtaisoma namba!

Thanks girlfriend but fortunately or unfortunately you are totally off topic.
 
Thanks girlfriend but fortunately or unfortunately you are totally off topic.
girlfriend, am still within the topic and you and I both know it pretty well.

on this particular thread, the only reason you are crediting Kikwete and not Mwalimu for the stuff that the latter achieved is nothing but your myopic obsession unto that "family stuff"!
 
Ukipenda tutamsifu usipopenda tutamsifu.

Hakuna Rais aliyeutendea haki wadhifa wake na kututoa kwenye lindi la umasikini zaidi ya Kikwete.

Kumbuka hilo.


Hakufanya chochote cha maana zaidi ya kulundika vihiyo kama wewe serikalini na mitaani huku mkipata mshahara msiostahili. Yaani kuondoka kwake mpaka ma-house girls nao wanalia eti pesa zimeondoka na rais kwa sababu alikuwa anafuga majipu ambayo yanatumbuliwa sasa.
 
Kikwete yupo juu sana na bado anadunda.

Ma sha Allah

Nyie ndio mnaoneza uongo eti mkweree atakuwa katibu mkuu wa U.N.; hata hamjui kuwa wale prospective candidates wa hiyo position walikuwa interviewed na panel ya diplomats na yeye wala hakuwemo!!!
 
Nyie ndio mnaoneza uongo eti mkweree atakuwa katibu mkuu wa U.N.; hata hamjui kuwa wale prospective candidates wa hiyo position walikuwa interviewed na panel ya diplomats na yeye wala hakuwemo!!!

Soma mada.

Hilo lako unaweza lifungulia uzi wake tutakuja kulijadili.

Hapa ni mambo ya graphite.

Jee, umeitazama video hapo nyuma kidogo?
 
Hakufanya chochote cha maana zaidi ya kulundika vihiyo kama wewe serikalini na mitaani huku mkipata mshahara msiostahili. Yaani kuondoka kwake mpaka ma-house girls nao wanalia eti pesa zimeondoka na rais kwa sababu alikuwa anafuga majipu ambayo yanatumbuliwa sasa.

Unaonesha unamkumbuka sana Kikwete.

Na bado.
 
girlfriend, am still within the topic and you and I both know it pretty well.

on this particular thread, the only reason you are crediting Kikwete and not Mwalimu for the stuff that the latter achieved is nothing but your myopic obsession unto that "family stuff"!

The Mwalimu I know was long dead before this exploration took place.

All credit in this matter goes to the best President Tanzania has ever seen, and that's no other than Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete.
 
All credit in this matter goes to the best President Tanzania has ever seen, and that's no other than Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete

The most corrupt and disgraced president this country will ever have!!! A president who shielded drug barons!!
 
Back
Top Bottom