Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Nafikiri kipindi cha kikwete ndipo tafiti nyingi zilifanyika na kugundua rasilimali tunazozisikia sasa.Sasa JK anahusika vipi na uwepo wa rasilimali tulizonazo!?
Wewe nawe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri kipindi cha kikwete ndipo tafiti nyingi zilifanyika na kugundua rasilimali tunazozisikia sasa.Sasa JK anahusika vipi na uwepo wa rasilimali tulizonazo!?
Wewe nawe!
Mkuu tunayajua kuhusu mtwara ni kidogo sana kuliko tusioyajua.Mi naamini Mtwara ndio ilikuwa bustani ya Eden ya Adam na Eve/Hawa.Mbona kila madini yanapatikana huko tu?Tena malighafi nyingine hazipatikani duniani kote ila Mtwara zipo.Naiomba serikali iutangaze mkoa wa Mtwara kama mkoa "takatifu".
Kikwete anahusika vipi hapo, tafiti za madini Tanzania ni za miaka mingi, hata kabla hajaingia madarakani
Hivi unafahamu yeye ndio aliyetuangusha kwenye dhahabu akiwa waziri wa Madini?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Sasa JK anahusika vipi na uwepo wa rasilimali tulizonazo!?
Wewe nawe!
[emoji23] [emoji23]= ladha
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona.
Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua viwanda vya betri zenye ubora duniani hapa hapa Tanzania.
Mtwara kucheleeee.
Volt Resources is targeting to become a preferred supplier of high quality large flake graphite to the emerging high technology industry.
The above objective is supported by Volt:
1.Increasing and optimising our current 179Mt @ 5.1% TGC JORC Resource containing high quality Jumbo and Super Jumbo graphite in Tanzania;
2.Utilising unique skills and experience of board members, stakeholders, customers and partners to develop innovative and competitive project development solutions;
3.Targeting highest margin (i.e. revenue to cost ratio) operations amongst our peers.
Location of Namangale Project -southern Tanzania
- The Mozambican Mobile Belt represents a band of highly metamorphosed rocks extending through East Africa
- Tanzanian graphite appears to contain larger flake sizes however with lower average total graphitic carbon grades than Mozambique
- Tanzania is a very stable political and economic investment destination
- Volt has established excellent local partnerships supporting tenure and approvals
Maiden Inferred JORC Resource
- Maiden total JORC compliant Inferred Resource of 179Mt @ 5.1% TGC
- Total of 82 RC holes and 9 diamond drill holes
- Very shallow resource (<100m) / Low cost deposit to explore and mine
- Infill drilling program to commence in April 2016
- Diamond drilling test-work ongoing; focused on graphite recovery and product quality of concentrates following flotation
Namangale PFS Underway
A Pre-Feasibility Study has commenced for the Namangale Project including:
- Metallurgical testwork: Flake size and concentrate optimization underway to refine the metallurgy of the project
- Marketing: MOUs with reputable end-users signed by mid-2016
- Mine planning: Several production options being considered to identify our target market and optimal market entry production point
- Plant and infrastructure: Design work to 25% capital and operating cost accuracy
- Experienced firm Battery Limits to deliver the PFS by latest Q4 2016
- Tenure and approvals: Progressing in parallel with PFS schedule
Summary
1.Volt Resources is developing the quality Namangale graphite project in southern Tanzania - the most prospective graphite territory in the world
2.Predicted strong future demand growth for the Super Jumbo and Jumbo flake size graphite product contained at Namangale
3.Fully funded Pre-Feasibility Study to deliver a largely derisked Namagale project in 2016
4.Volt board & management have demonstrated a strong focus on delivery of commitments and targets
5.Volt's development stage represents significant value upside for resources investors interested in exposure to the future high technology industry supply chain.
To view the presentation, please visit:
http://abnnewswire.net/lnk/6T2L74Q1
About Volt Resources Ltd
Volt Resources Ltd (ASX:VRC) is a graphite exploration company listed on the Australian Stock Exchange under the ASX code VRC. The Company is focused on the exploration and development of the Jumbo Flake Namangale graphite project in Tanzania which has the potential to add to value for shareholders.
The Namangale Project is one of the largest graphite deposit in Tanzania containing a JORC compliant Inferred Resource of 179Mt @ 5.1% TGC. The project is exceptionally well located in South Eastern Tanzania being 140km from a deep-water port and 10km from sealed roads. Mineralisation at the three drilled deposits, occurs from surface and remains open in all directions. After the completion of this the recent capital raising the Company is now fully funded to complete the Pre-Feasibility Study into commencing production of high quality flake graphite targeting the rapidly expanding lithium-ion battery market. Volt has established a dominant tenement position in this extremely well located graphite rich part of Tanzania.
Source:Volt Resources Limited (ASX:VRC) Investor Presentation - March 2016
Mi naamini Mtwara ndio ilikuwa bustani ya Eden ya Adam na Eve/Hawa.Mbona kila madini yanapatikana huko tu?Tena malighafi nyingine hazipatikani duniani kote ila Mtwara zipo.Naiomba serikali iutangaze mkoa wa Mtwara kama mkoa "takatifu".
Tafiti za madini sio za muda mfupi na wala sio kampuni moja ndio inaanza, hiyo Graphite na rare earth zingine zilishafanyiwa utafiti miaka mingi, walikuwa wanaanza hawa wanashindwa wanauza kwa wengine, hivyo hawa waliofikia stage ya resource drilling hawakuanza wao waliingia kwenye eneo lililokuwa na tafiti tayari,Soma tafiti hii ilianza lini.
Ukiongelea dhahabu basi uelewe kuwa inachimbwa tokea ukoloni.
Aliyewaingiza mkenge kwenye mikataba ya uchimbaji dhahabu ni Mkapa na si Kikwete.
Kikwete alivyokuja na baada ya kusikia upinzani wakilalamika sana bungeni kuhusu hilo, akaanzisha tume ya kupitia upya mikataba ya dhahabu na akamuweka mpinzani kuongoza hiyo tume. Umesahau nikukumbushe au ulikuwa bado kinda?
Tafiti za madini sio za muda mfupi na wala sio kampuni moja ndio inaanza, hiyo Graphite na rare earth zingine zilishafanyiwa utafiti miaka mingi, walikuwa wanaanza hawa wanashindwa wanauza kwa wengine, hivyo hawa waliofikia stage ya resource drilling hawakuanza wao waliingia kwenye eneo lililokuwa na tafiti tayari,
Hongera waTZ!!Ndiyo maana tunamwomba Magufuli ahakikishe kwenye hii graphite viwanda vya betri za magari mapya ya umeme vinaanzishwa hapa hapa na tusiuze malighafi, watakuja tu.
Kiongozi wa ile kamati alikuwa jaji mstaafu mark Bomani, Zitto alikuwa mjumbe wa kamati acha kupotosha.Soma tafiti hii ilianza lini.
Ukiongelea dhahabu basi uelewe kuwa inachimbwa tokea ukoloni.
Aliyewaingiza mkenge kwenye mikataba ya uchimbaji dhahabu ni Mkapa na si Kikwete.
Kikwete alivyokuja na baada ya kusikia upinzani wakilalamika sana bungeni kuhusu hilo, akaanzisha tume ya kupitia upya mikataba ya dhahabu na akamuweka mpinzani kuongoza hiyo tume. Umesahau nikukumbushe au ulikuwa bado kinda?
Kiongozi wa ile kamati alikuwa jaji mstaafu mark Bomani, Zitto alikuwa mjumbe wa kamati acha kupotosha.
Ni nani aliyemtaja Mwenyekiti?
Hivi hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Soma:
Hivi karibuni Rais Kikwete aliunda kamati hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya kutoa ahadi ya kuunda kamati ya kuchunguza mikataba ya madini na kuwashirikisha viongozi wa vyama vya siasa kutoka upinzani.
SOMA ZAIDI: Kabwe Zitto: Sitajitoa kamati ya madini | Bongo5.com
Acha kuwa mjinga kiasi hicho,kwenye bandiko lako umesema"akamteua mpinzani kuwa Kiongozi wa tume"sasa Kiongozi wa tume ni nani kama sio mwenyekiti wa hiyo tume? We bure kabisa
Kwahiyo Zitto ndo alikuwa Kiongozi wa hiyo tume kama ulivyosema hapo mwanzo?bure kabisaSasa Zitto hakuwa kiongozi wa upinzani kwenye hiyo tume?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?