Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

Wengi hawajafurahishwa na hii habari au hawajafurahishwa na kichwa cha hii habari?
 
TATIZO LA MIKATABA NILILIZINGUMZA KWENYE UZI MMOJA HIVI

Nchi nyingi zilizoendelea zinatumia udhaifu wa teknolojia kwa nchi zinazoendelea Kama silaha ya kupata umiliki wa rasilimali wanazochimba kwa kuweka vipengele vinavyowanufaisha Wao kwenye mikataba mingi.

Ilitakiwa nchi zinazoendelea ziwe Na msimamo mmoja wa kuzitaka nchi zilizoendelea kutoa huduma ya kuchimba Tu, suala la kuuza liwe Ni la nchi inayotoa malighafi husika kwa kuwa Na Wao wanahutaji hiyo malighafi.

Ikishindikana basi tukose wote, jambo ambalo haliwezekani kwa kuwa nchi nyingi za ulaya, Asia Na amerika zinategemea nchi za Afrika kwa malighafi ambayo ndiyo nguzo ya maendeleo yao.

Tatizo sisi tuna tamaa Sana, hayati baba wa taifa aliweza kusimamia hili
 
...Weye ndio hujanisoma wala kunielewa.

...Sometimes you are full of BS.
 
...This is my point. Tuko pamoja.

...Alivyojibu ambaye hakuulizwa swali.

...Yeye anaye "waelewa" anaamini watakujajenga auto plant, Tanzania. Ningeweza mwelewesha jinsi gani that is a far-fetched idea, lakini najua anajua kuwa najua anajua.
 
Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua viwanda vya betri zenye ubora duniani hapa hapa Tanzania.
...Ni ngumu wawekezaji kuja kufungua viwanda vya betri, hapa hapa. Sababu ziko nyingi. Moja na ya muhimu, ni masoko ya bidhaa yalipo.

...Leo hii Tesla -ambayo umeitaja huko nyuma, na ku imply "unawafahamu" "vijana" waliyoianzisha- inazalisha na kuuza magari yenye kutumia umeme wa betri, Marekani. Inaingia kwenye kuzalisha betri za kutoa umeme majumbani, na tayari imeshapata order za zaidi ya USD 800mn.

...Imejenga kiwanda Reno, Nevada cha kuzalisha betri hizo na za aina nyingine -hata ikiwezekana kutoa umeme kwa miji- kitakachokuwa na thamani ya USD 5bn. Simply, kinaitwa Gigafactory.

...This is reality.

Volt Resources is targeting to become a preferred supplier of high quality large flake graphite to the emerging high technology industry.
...Haya maneno umeyaelewa? Yanamaanisha, mzigo utasafirishwa kwenda ng'ambo.

...Kwanini mzigo utatoka nje, imeshaelezwa hapo juu.


NB: Tulia, soma na uelewe. Usikimbilie ku copy na kuja paste vitu hapa, halafu unajaza BS.
 
Kwa Mara ya kwanza katika post yako sijaona neno Ccm au neno Dini..hongera sana ila hiyo post yako Ingekua kwa kiswahili ingeongeza radha zaidi...
True that......hata mimi sijawahi kuona.....ila kiswahili please...halafu haya mambo siyo ishu kwani tunaendelea kuwa masikini....hata kila mtu akiwa na mgodi wake wa madini
 

kukinai hapa inahusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…