hahahahahaahhHa ha ha, uashazingua.
Ulitakiwa umhurumie awe analala hapo hotelini, ili kumpunguzia gharama za mafuta, na uchovu wa nenda rudi.
Sijakuelewa mkuu! unamaanisha mimi ni mtafutaji au? na kama ni mimi unahisi natafuta nini labda?Atakuwa mtaftaji tu huyu
nimesoma moshi mjini na kukulia moshi mjini huo mji naujua in out na wakati nakuwa nilikuwa star ha haha ha aha ngoja niishie hapo maana.............Mama yuko Moshi Mjini?
hahahahahahha, kumbe!yep
nimesoma moshi mjini na kukulia moshi mjini huo mji naujua in out na wakati nakuwa nilikuwa star ha haha ha aha ngoja niishie hapo maana
ha ha ha mkuu pole, nimemtaja Miss Natafuta mkuuSijakuelewa mkuu! unamaanisha mimi ni mtafutaji au? na kama ni mimi unahisi natafuta nini labda?
alaaa kumbe! uwe na amani mkuuha ha ha mkuu pole, nimemtaja Miss Natafuta mkuu
Shukrani sana mkuuBarikiwa sana mkuu
Shukrani nitakuja.Sawa siku nyingine uje na Arusha mji wa kitalii.
yes yes hapo nikifika napokelewa kama nyoshi el saadat wanajua kaingia ha ha hahahahahahahha, kumbe!
πππππππyes yes hapo nikifika napokelewa kama nyoshi el saadat wanajua kaingia ha ha ha
HahahahahaaaaHahaaa. Lol.
Ila mdogo wangu nimejikuta nacheka kwa jinsi ulivyopandanisha Story. Lol
Hahahahahaaaa, nimefurahi maana hajanitaja pekee yangu.Hahahaaa. Lol.
Ila niwe mkweli Mdogo wangu ,Da NAHUJA ana akili sana yaani Sanaaaa narudia tena sanaaa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi nishajiweka wazi nasubiri wapinzani wangu waje hapa na wao watoe ya moyoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Umeonaeee.
Umesahau mdogo wangu pia imebaki kazi ya mliotajwa kila mmoja ajigeuze ndio alikuwa mwenyeji wake ili kuzidi kutuchanganya. Hahahaaaaa.
Nimeipenda hii kwa kweli. Hongera kwake.
Hahahaaa. Lol.
Ila niwe mkweli Mdogo wangu ,Da NAHUJA ana akili sana yaani Sanaaaa narudia tena sanaaa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahaaaaaaaaaaHahahahahaaaa, nimefurahi maana hajanitaja pekee yangu.
Hapa katuwekea probability sisi tupick randomly na kila mmoja abaki na jibu lake.
Nakazia hapaMcheki jamaa akukarimu zaidi ya yule wa Moshi.
Maana amejitapa sana eti ukienda Mwanza atakufanyia ukarimu.
Ingekuwa proper kama ungemmention na sisi tukusaidie kumpongeza kwa kazi nzuri
tehe tehe tehe hebu mtaje, hahahahahaaha mkuu stardust JK hebu mtajeNishamjua [emoji3][emoji3]