Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Ahsante sana NAHUJA, ungenianika pekee yangu hapa huko PM kwangu pasingekalika.....

Na mimi nichukue fursa hii kutoa pongezi kwa wanaJF wote hasa wale wenye moyo wa kuthamini, kusaidia wenzio kwa hali na mali japo kwa ushauri tu.

Mungu awabariki wote
Barikiwa sana mkuu
 
Hahahaaa. Lol.

Ila niwe mkweli Mdogo wangu ,Da NAHUJA ana akili sana yaani Sanaaaa narudia tena sanaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahaaaa, nimefurahi maana hajanitaja pekee yangu.

Hapa katuwekea probability sisi tupick randomly na kila mmoja abaki na jibu lake.
 
Hahahaaaa. Umeonaeee.

Umesahau mdogo wangu pia imebaki kazi ya mliotajwa kila mmoja ajigeuze ndio alikuwa mwenyeji wake ili kuzidi kutuchanganya. Hahahaaaaa.

Nimeipenda hii kwa kweli. Hongera kwake.
Mimi nishajiweka wazi nasubiri wapinzani wangu waje hapa na wao watoe ya moyoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaa. Lol.

Ila niwe mkweli Mdogo wangu ,Da NAHUJA ana akili sana yaani Sanaaaa narudia tena sanaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahaaaa, nimefurahi maana hajanitaja pekee yangu.

Hapa katuwekea probability sisi tupick randomly na kila mmoja abaki na jibu lake.
hahaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom