Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Ahsante MwanaJF wewe kwa mapokezi yako mazuri

Maana kama yote hayo hamkuyafanya basi hilo limjamaa li lijanaume zembe haijawahi kutokea katika mkoa wa Kilimanjaro na Afrika Mashariki na Kati.
Mkoa wa Kilimanjaro umetoa mtu wa ajabu sana[emoji16][emoji16][emoji16]yani hata mate tu hawakulana...teh teh! Huyo atakuwa mchagga, wapare wanapenda sana chini, hawezi kumuacha hivi hivi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona.

Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga muda wako kunipokea, hadi kunipeleka hotelini na hata kesho yake uliendelea kunisupport kwa usafiri wako kunipeleka sehemu ambazo nilipaswa kwenda. Uliahirisha shughuli zako kwa muda kwa ajili yangu.

Mungu akubariki sana. Nakushukuru sana. Ulinipa heshima kubwa ambayo sikutegemea.

WanaJF tushikamane, nawapenda wooote hapa nitataja tu baadhi lakini hata kama sijakutaja popote ulipo amini nakuthamini mwanaJF mwenzangu.
Mshana Jr, Mulhat Mpunga , Mzee Ngoda95 myoyambendi Madam Mwajuma Patience123 mng'ato Mr. MTUI Kilemakyaaro Mangi flani hivi Miss Natafuta Kididimo Sakayo Roho Mbaya Joseverest Mwifwa

😀😀mlengwa umejiona nimekutagi hapo. Ningekutagi peke yako wangejua ni nani aliyenipokea.
Wadau wa probability / ramli hapo washamjua![emoji3]
 
Back
Top Bottom