Nianze kwa kusema kuwa;
Mungu kawapa binaadamu wote AKILI lakini binaadamu wachache wamepewa HEKIMA sio wote.
Baada ya kusikiliza Clip ya mahojiano kati ya Tido Mhando (Azam TV) na Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia, nilicho baini ni kuwa Mungu Kampa vitu vyote Rais wetu Akili ya hali ya juu na HEKIMA.
Ukiona kiongozi kapewa vitu vyote hivyo viwili basi fahamu kuwa huyo ni kiongozi tangia kuumbwa kwake (inborn).
HEKIMA haisomewi wala haina cheti bali HEKIMA ni karama/TUNU kutoka kwa Mungu ambayo humtunuku binaadamu anaye mtaka, ni mapenzi yake Mungu.
Ukiwa kiongozi hata kama una elimu ya shahada za juu lakini kama huna HEKIMA hufai kuwa kiongozi.
HEKIMA ni NYENZO KUU na MUHIMU sana kwa kiongozi katika kuongoza.
Ukikosa Hekima na Busara utaboronga na kuharibu.
Ukifuatilia mahojiano haya hakika utakubaliana nami kuwa Rais Mama Samia ni kiongozi mwenye HEKIMA na BUSARA tele.