Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Tido anaijua kazi yake.
Na mama ana uzoefu wa kujibu hoja.
Kipindi kimependeza.
Na mama ana uzoefu wa kujibu hoja.
Kipindi kimependeza.
Bi Faiza, usifanye Sisi baadhi tunaokupenda tuhisi kwamba account yako imekuwa hacked. Mimi ndugu yako nakwambia pia kwamba umekosea kumuita Pascal Mayalla fala.Kipi nilichokosea hapo? Siombi radhi mahala hakuna kosa. Sasa kashfa hapo iko wapi? Unaota? Acha kunyambua yasiyokuwepo, nisome kama nilivyoandika.
Unatumia nguvu nyingi kujinasabisha na Uislam. Nani alikuuliza wewe dini gani?
Ni kweli, Pascal Mayalla hata mimi sikubaliani nae kwa namna flani haswa linapokuja suala la Zanzibar na Muungano. Lakini katika hili dada wewe ndio umeanza kumuita fala.Nimekutakana nini wewe? Umesahau wewe ulivyokuja kumtukana Mwanamke wa Kizanzibari na kumkashifu? Huo ndio wema wa Kisukuma?
Hujatukanwa unasema umetukanwa, ni dirty mind hiyo. Wewe wadanganye humu wasiokuelewa, nakusoma humu miaka mingi kiasi cha kuweza kuelewa makusudio yako na roho mbaya uliyokuwa nayo. Ni mnafik tu. Hata maandiko yako yamekaa kinafik tu.
Tusi liko wapi?Umemtolea tusi hapo, sio vizuri kuwa na staha na wenzako haya maisha tu.
Mara zote unatumia dharau kwa wenzako, acha hizo tabia.
Hizi picha bila maelezo zinawakilisha nini hasa?
Sasa kumuita fala ndio tusi? Koiswahili ni lugha yako ya taifa iliyotokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa sana. Labda hufahamu "Fala" maana yake ni mshamba, neno hilo linatokana na neno "falah" la Kiarabu linamaanisha "peasant" sasa falah utamkuta wapi kama sio shamba?Ni kweli, Pascal Mayalla hata mimi sikubaliani nae kwa namna flani haswa linapokuja suala la Zanzibar na Muungano. Lakini katika hili dada wewe ndio umeanza kumuita fala.
Hizi picha bila maelezo zinawakilisha nini hasa?
Tatizo lenu mnaharibu sana misitu na mazingira mkuu... [emoji23] [emoji23]Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Asante kwa yote.
P.
Fala ni sifa tena kwa huyo ndiyo inamfaa haswa, wewe fikiri utavyofikiri, fala sio tusi.Bi Faiza, usifanye Sisi baadhi tunaokupenda tuhisi kwamba account yako imekuwa hacked. Mimi ndugu yako nakwambia pia kwamba umekosea kumuita Pascal Mayalla fala.
Sisi tunaamin wewe ni mtu mzima mwenye hikma. Hutopungua chochote kuomba radhi. Huu sio uungwana wala Uislam.
Basi naww ni FALA[emoji23][emoji23]Fala ni sifa tena kwa huyo ndiyo inamfaa haswa, wewe fikiri utavyofikiri, fala sio tusi.
Kama sio fala ni nini, kaweka nyuzi mbili zinazomuhusu Mama Samia, na zote haongelei mema, anaongelea aondoke, kafikia mpaa kusema aondoke amuwachie Hussein Mwinyi, ana nini na mama Samia fala huyu?
Mimi nakwambia huyo ni fala tu na wewe usimendekeze ukawa fala kama yeye.
...umesahau wasukuma wengi ni washirikina yaani hawawezi kufanya chochote mpaka waweke mizizi kuanzia mashambani,makazini nk pia washamba SanaNajisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Asante kwa yote.
P.
Rudi kasome ukichoandika usijote akili hapa.Tusi liko wapi?
Kama sio tusi nenda kamwite mamako FALA. Acha ujuaji wa kijinga bhana. Umekosea omba radhi, hutopungukiwa na chochote hapa jukwaani.Fala ni sifa tena kwa huyo ndiyo inamfaa haswa, wewe fikiri utavyofikiri, fala sio tusi.
Kama sio fala ni nini, kaweka nyuzi mbili zinazomuhusu Mama Samia, na zote haongelei mema, anaongelea aondoke, kafikia mpaa kusema aondoke amuwachie Hussein Mwinyi, ana nini na mama Samia fala huyu?
Mimi nakwambia huyo ni fala tu na wewe usimendekeze ukawa fala kama yeye.
Pia sio waelewa wa mambo..hata kama amesoma Ila bado ni wagumu Sana kwenye kuelewa...ilifikia hatua kwenye taasisi yetu yaani mtu mgumu wa kuelewa anaitwa msukuma...umesahau wasukuma wengi ni washirikina yaani hawawezi kufanya chochote mpaka waweke mizizi kuanzia mashambani,makazini nk pia washamba Sana
NB :siwasingizii nimeishi usukumani kwa muda mrefu sana