Mkuu zandrano, thanks for this, nimefuatilia mahojiano hayo na nakubalina na wewe.Ukifuatilia mahojiano haya hakika utakubaliana nami.
Faiza leo umechafukwa. Pascal Mayalla soma hiyooo!Mama hoyeeee.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi mbili za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Fala sana yule jamaa.
Hapa umekosea dadangu, staha ni muhimu, na kwetu waislam tunakatazwa kuwakashfu wenzetu, muombe radhi au futa andiko hili.Mama hoyeeee.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi mbili za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Fala sana yule jamaa.
Hii picha ni Mgufuli au babu yake?
From chato with hatred
Kipi nilichokosea hapo? Siombi radhi mahala hakuna kosa. Sasa kashfa hapo iko wapi? Unaota? Acha kunyambua yasiyokuwepo, nisome kama nilivyoandika.Hapa umekosea dadangu, staha ni muhimu, na kwetu waislam tunakatazwa kuwakashfu wenzetu, muombe radhi au futa andiko hili.
Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.Mama hoyeeee.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi mbili za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Fala sana yule jamaa.
Mkuu CARDLESS , asante sana kwa hii.Hapa umekosea dadangu, staha ni muhimu, na kwetu waislam tunakatazwa kuwakashfu wenzetu, muombe radhi au futa andiko hili.
Umemtolea tusi hapo, sio vizuri kuwa na staha na wenzako haya maisha tu.Kipi nilichokosea hapo? Siombi radhi mahala hakuna kosa. Sasa kashfa hapo iko wapi? Unaota? Acha kunyambua yasiyokuwepo, nisome kama nilivyoandika.
Unatumia nguvu nyingi kujinasabisha na Uislam. Nani alikuuliza wewe dini gani?
Nimekutakana nini wewe? Umesahau wewe ulivyokuja kumtukana Mwanamke wa Kizanzibari na kumkashifu? Huo ndio wema wa Kisukuma?Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Asante kwa yote.
P.