Ahsante Rais kwa ufafanuzi wa kina na uliojaa weledi wa kiwango cha juu

Kipi nilichokosea hapo? Siombi radhi mahala hakuna kosa. Sasa kashfa hapo iko wapi? Unaota? Acha kunyambua yasiyokuwepo, nisome kama nilivyoandika.

Unatumia nguvu nyingi kujinasabisha na Uislam. Nani alikuuliza wewe dini gani?
Bi Faiza, usifanye Sisi baadhi tunaokupenda tuhisi kwamba account yako imekuwa hacked. Mimi ndugu yako nakwambia pia kwamba umekosea kumuita Pascal Mayalla fala.

Sisi tunaamin wewe ni mtu mzima mwenye hikma. Hutopungua chochote kuomba radhi. Huu sio uungwana wala Uislam.
 
Ni kweli, Pascal Mayalla hata mimi sikubaliani nae kwa namna flani haswa linapokuja suala la Zanzibar na Muungano. Lakini katika hili dada wewe ndio umeanza kumuita fala.
 
mtakuja na mapambio mengi kuhusu huyu mama ila kwa wenye akili tumeshatambua hapa akuna kiongozi yahani tumepigwa na kitu kizto
 
Ni kweli, Pascal Mayalla hata mimi sikubaliani nae kwa namna flani haswa linapokuja suala la Zanzibar na Muungano. Lakini katika hili dada wewe ndio umeanza kumuita fala.
Sasa kumuita fala ndio tusi? Koiswahili ni lugha yako ya taifa iliyotokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa sana. Labda hufahamu "Fala" maana yake ni mshamba, neno hilo linatokana na neno "falah" la Kiarabu linamaanisha "peasant" sasa falah utamkuta wapi kama sio shamba?

Wacheni u fala nyinyi, fala ni sifa sio tusi.
 
Uzi umearibika baada ya mzee wetu aliyetuinspaya @Pascalmayalla kutukanwa . Nimeumia sana kiukweli. Hii siyo tabia ya wetu waliostaarabika.

Hii inaonesha kwa namna gani mamaetu anaishi kwa taabu na majirani hiko mtaani kwake. Uzi ufungwe kama hajaomba radhi
 
Tatizo lenu mnaharibu sana misitu na mazingira mkuu... [emoji23] [emoji23]
 
Fala ni sifa tena kwa huyo ndiyo inamfaa haswa, wewe fikiri utavyofikiri, fala sio tusi.

Kama sio fala ni nini, kaweka nyuzi mbili zinazomuhusu Mama Samia, na zote haongelei mema, anaongelea aondoke, kafikia mpaa kusema aondoke amuwachie Hussein Mwinyi, ana nini na mama Samia fala huyu?

Mimi nakwambia huyo ni fala tu na wewe usimendekeze ukawa fala kama yeye.
 
Hii ndio interview aliosema mafuta USA ni bei ghali kuliko Tz?
 
Uzi mtamu wa mama umechanganyika na ndondi za mbwa mwitu na njaa
 
Basi naww ni FALA[emoji23][emoji23]
 
Aisee Hekima na Busara ni jambo adimu na Nadra kwa baadhi yawatu ukijaaliwa Hekima umebarikiwa.
 
...umesahau wasukuma wengi ni washirikina yaani hawawezi kufanya chochote mpaka waweke mizizi kuanzia mashambani,makazini nk pia washamba Sana

NB :siwasingizii nimeishi usukumani kwa muda mrefu sana
 
Kama sio tusi nenda kamwite mamako FALA. Acha ujuaji wa kijinga bhana. Umekosea omba radhi, hutopungukiwa na chochote hapa jukwaani.
 
...umesahau wasukuma wengi ni washirikina yaani hawawezi kufanya chochote mpaka waweke mizizi kuanzia mashambani,makazini nk pia washamba Sana

NB :siwasingizii nimeishi usukumani kwa muda mrefu sana
Pia sio waelewa wa mambo..hata kama amesoma Ila bado ni wagumu Sana kwenye kuelewa...ilifikia hatua kwenye taasisi yetu yaani mtu mgumu wa kuelewa anaitwa msukuma
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…