Mamangu fala kweli, katokea kisiju, ni sifa hiyo.Kama sio tusi nenda kamwite mamako FALA. Acha ujuaji wa kijinga bhana. Umekosea omba radhi, hutopungukiwa na chochote hapa jukwaani.
Nikasome nini wewe fala. Si useme hapa nimeandika tusi lipi?Rudi kasome ukichoandika usijote akili hapa.
Acha ubish wewe ajuza umemtukana@Paschal muombe radhiSasa kumuita fala ndio tusi? Koiswahili ni lugha yako ya taifa iliyotokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa sana. Labda hufahamu "Fala" maana yake ni mshamba, neno hilo linatokana na neno "falah" la Kiarabu limaanisha "peasant" sasa falah utamkuta wapi kama sio shamba.
Wacheni u fala nyinyi, fala ni sifa sio tusi.
Nimemtukana nini fala nini na wewe?Acha ubish wewe ajuza umemtukana@Paschal muombe radhi
Yule ni mtu mzima mwenzako
Udini unakusumbua wewe tunakujua tabia zako siku nyingi sanaaa
Ukipigwa na kitu kizito cha kienyej usilalamike
Okey Dada. Shukran!Sasa kumuita fala ndio tusi? Koiswahili ni lugha yako ya taifa iliyotokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa sana. Labda hufahamu "Fala" maana yake ni mshamba, neno hilo linatokana na neno "falah" la Kiarabu limaanisha "peasant" sasa falah utamkuta wapi kama sio shamba.
Wacheni u fala nyinyi, fala ni sifa sio tusi.
nadhani waandishi wengine wanapaswa sana wajifunze/kuchota ujuzi kwa huyu nguli wa habari ndg. TidoTido anaijua kazi yake.
Na mama ana uzoefu wa kujibu hoja.
Kipindi kimependeza.
Paschal anajenga hoja kutokana na chambuzi alizofanya kama mwanahabari, tatizo hulka za udini ndo zilizokujaa......Mama hoyeeee.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi mbili za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Fala sana yule jamaa.
Fala maana yake mjinga,mpumbavu bwege na mtu ambaye akili zake hazimtoshi, it's an insult and are considered as offensive word.....halina sound nzuri pia linaweza kuibua hisia hasi baina ya mtu ,katika Hali ya kawaida huwezi kumuita mtu fala either muwe kwenye utani au ugomviTusi liko wapi?
Ww ni lijinga na huna akili ww. Kama Pascal ameanzisha hizo nyuzi si umjibu kwa hoja matusi ya nn, huyo mama yenu kwani kuna kipi cha maana anafanya hapa kwani ni uwongo inchi si imeshamshinda hii si arudi huko kwenu mchambawima. ShwainiMama hoyeeee.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi mbili za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Fala sana yule jamaa.
Hayo yote uliyoyataja siyo matusi, zote hizo ni sifa. Tena naona zimekukaa kweli kweli.Fala maana yake mjinga,mpumbavu bwege na mtu ambaye akili zake hazimtoshi, it's an insult and are considered as offensive word.....halina sound nzuri pia linaweza kuibua hisia hasi baina ya mtu ,katika Hali ya kawaida huwezi kumuita mtu fala either muwe kwenye utani au ugomvi
Tusi liko wa wewe juha?Ww ni lijinga na huna akili ww. Kama Pascal ameanzisha hizo nyuzi si umjibu kwa hoja matusi ya nn, huyo mama yenu kwani kuna kipi cha maana anafanya hapa kwani ni uwongo inchi si imeshamshinda hii si arudi huko kwenu mchambawima. Shwaini
GENTAMYCINE ni 'Takataka' tu hapa Jamiiforums hivyo Kunyanyasika, Kuonewa, Kukomolewa na Kupigwa BAN za Mwezi Mmoja au Miezi Mitatu ni Kitu cha Kawaida mno Mkuu na ambacho nimeshakizoea ila kuna Watu wanajitafutia Laana za Kujitakia kwa Kumchukia Mtu ambaye hana Kosa ( Baya ) nao.Mods huyu kichaa FaizaFoxy anatoa lugha chafu (matusi) kwa watu afu anaachwa, wengi hapa wanatoa lugha hizi na mnawapiga ban tena ya muda mrefu. GENTAMYCINE amekula ban muda mrefu sasa kwa lugha kama hizi, ila huyu Dada yetu ameachwa hadi muda huu.