Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #21
Pole sanaa TAGA.Utangoja sana .. Haipungui miezi 6 mpaka mshahara kueffect cheo kipya. Vumilia tu
Ndio....Ndio Mara ya kwanza kwako kupanda daraja !!??
Ndio Hawa waliotii Maagizo..Na nyie ndio mliokua mkitukatalia kutuandika kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Usitake kumlaumu Mama kwa yasiyomuhusu. Tumuunge mkono mama mkuu. Kila mmoja atafikiwa tu.
Watu wanaouliza maswali kama haya ndio wamejaa JF , eti nae GTKuzipata barua ndiyo kupanda daraja?
Relax bro...Mzee mwenzangu concern yangu ni pale ulipokuja na sifa za kumtetea huyo mama as if malaika ametua madhabahuni.
Kingine, sijamaanisha kwamba unategemea mshahara tu, hata mimi sitegemei mshahara tu.
Halafu madeni ninayowadai nimeshayasamehe hizo faranga tumbueni tu huko juu, baada ya kuzungushwa kama mtoto kwenye madai yangu nimeshaapa kutopeleka nyaraka ya madai popote pale. Nimeridhika na mshahara wangu huu. Laki 2 zinanitosha mimi na familia yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna sehemu ambayo nampinga huyo mama yenu.Na nyie ndio mliokua mkitukatalia kutuandika kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Usitake kumlaumu Mama kwa yasiyomuhusu. Tumuunge mkono mama mkuu. Kila mmoja atafikiwa tu.
Ndugu.
Pamoja na kumuelewa lakini pia tafakari na hii. PAYE imeshushwa kutoka 9% hadi 8% ni jambo jema lakini inawezekana isiwe na maana kushuka kwa sababu kama hizi.
1. Kodi ya laini za simu imeanzishwa jambo ambalo litahitaji ile hela ya punguzo kwenye PAYE.
2. Kodi ya majengo kupitia kununua LUKU ambapo utalazimika kulipa pale unapolipa bill ya umeme ukiwa kwenye nyumba ya kupanga au ya kwako.
3. Kuwepo kwa kodi mpya kwenye miamala ya simu kila unapotuma na kutoa hela.
4.Ongezeko la kodi kwenye bidhaa za mafuta ya dizeli na petrol ambapo gharama za usafiri na usafirishaji zinatarajiwa kupanda.
Kwa hizi baadhi ya kodi mpya ni vigumu kumuelewa mama kwani ni kama mtu amekukupunguzia shs. Mia kwenye hela unayopata ila atachukua elfu moja kwako.
Mkuu tuombe Mungu atufikishe tena tarehe 01/05/2022.Relax bro...
The saviour has been born something will be alright.
Ameonyesha promise na maslahi ya watumishi hebu tumpe nafasi.
Yule mwenzake alibinya haki Tena kwasababu zake Ila huyu katoa ahadi Tena zenye deadline.
Tumpe muda ila mwanga amenionyesha.
#YNWA
Nakupuuza tu mkuu .Unajua swali langu kwa mlete uzi nilikuwa Na objective Gani?Watu wanaouliza maswali kama haya ndio wamejaa JF , eti nae GT