Nitashukuru zaidi wakimwondoa na aliyeiweka3. Kutolewa kwa 6% ya tozo ya kulinda thamani ya mkopo wa elimu ya juu (Value Retention Fees)
Kwani maafisa wa kata na tarafa hawakuwa wanalipwa? hata hivyo bila kuwafikiria wenyeviti wa serikali wa mitaa bado hajatibu tatizo la rushwa za mihuriMadiwani, Maafisa Tarafa na Watendaji kata kulipwa 100,000 kila mwezi kama posho.
Wanasiasa wetu hawajawahi kuona umuhimu wa walimu wa nchi hii Ila watashinda majukwaani wanahubiri umuhimu wa elimuHivi ni lini mwalimu wa Tanzania naye ataanza kulipwa posho?
Upo muda wataliona hili kwa hawa watu muhimu kabisa kwa taifa
[emoji1][emoji1][emoji1]Ila kiukweli ukisomaa sheria za utumishi, kwasasa nilistahili kuwa juu ya daraja hili nililopandishwa sasa, ila yule msukuma yule sijui anaenda kuongoza malaika gani wanaozuia haki za watu tena za kisheria.
Yule ni shetani,ibilisi na afe tena huko
Hawa niliowataja ni WATUMISHI WA UMMA.Kwani maafisa wa kata na tarafa hawakuwa wanalipwa? hata hivyo bila kuwafikiria wenyeviti wa serikali wa mitaa bado hajatibu tatizo la rushwa za mihuri
Haya banaHawa niliowataja ni WATUMISHI WA UMMA.
Huwa wanapewaga pikipiki kurahisisha Kazi zao.
Then hizi 100k zitatumika kwenye maintenance za hizo pikipiki.
#YNWA
Pole TAGA kwa msiba wa BABA.Pelekeni ujinga wenu wa ubinafsi huko, mnafikiri kila mtu kaajiriwa na serikali.
Nyinyi Mwendazake alikataa kuwapandisha madaraja na marupurupu kwasababu wengi ni majizi ya nchi hii,mnajitungia semina za ajabu ajabu kisha mnakula hela yetu ya kodi.
Watumishi wenyewe wavivu,wezi na wala rushwa wakubwa
UsiwaaminiCha ajabu kupandishwa huku madaraja mpaka MATAGA wamefurahia
Duh HR wamefeli hasaa...!!
Ashakum si matusi ""Walimu hawajawahi kujielewa""Wanasiasa wetu hawajawahi kuona umuhimu wa walimu wa nchi hii Ila watashinda majukwaani wanahubiri umuhimu wa elimu
Payee imepungua kwa 1% Kodi zingine zimeongezeka over 2% .nani kanufaika ?!Mama anajenga uchumi uliovurugwa 2015 mpaka 2021 !! 17/3/2021 !!!
Huyu ataongoza malaika wa 666 ila sio Hawa weupe.View attachment 1817573Kazi kubwa amefanya na Mama Samia anaendelea, pumzika kwa amani Magufuli.
Unaongelea historia Mkuu..tarehe ya mwisho ya kupandishia watumishi wa umma ilikuwa 12 Juni..unajua kwanini..mtiririko wa maandalizi ya mshahara ndio unaanza hapo hivyo hata hawa walipewa barua mwezi huu ongezeko litakuwepo. Hii imefanyika ili kuondoa mlundikano wa hayo madai kama miaka ya nyuma.Utangoja sana .. Haipungui miezi 6 mpaka mshahara kueffect cheo kipya. Vumilia tu
Hapo unadhani unamkomoa mwanasiasa au unamkomoa mwananchi ambaye ni mhanga kama wewe?Watumishi wa umma ni muda kutafuta malisho mengine huku tukifanya kazi zao kadiri tunavyolipwa.