Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

Hongera mheshimiwa Rais SSH, mimi binafsi nilipata barua kutoka HESLB ya VRF ya million kazaa, wiki hiyo hiyo mheshimiwa kapiga chini VRF na Sasa nasubiri kupanda daraja ntalaantalaa. Hongera mkuu najua barua yako imesoma kuanzia 01/06/2021
 
MATAGA ni MATANGA ga nghuku, na tulio benchi zamu yetu itafika walahi.😋
 
😂😂😂
 
Ndugu umezaliwa lini ww mpaka useme "huyu mama kipindi cha mwendazake hakusema kitu? Ina maana ulikuwa hujui ukiwa against na mze baba nn kinakukuta?acha mama atengeneze anapoweza ,mimi nadhani matumaini ya binadamu wanaoishi hapa tz ni makubwa mno sasa hv na tunamkubali mama kuliko maviwanda mliokuwa mnataka mjenge kwanza ndipo watu wapate maslahi yao ya kisheria cjui ingechukua karne ngapi
 
mkuu kuna baadhi ya wanasiasa wanatia matumaini,ni sawa na kuuguza mgonjwa alaf umwambie haa ww hauponi subir kufa,,kwa hiyo ww ulitaka nchi hii aongoze malaika?coz kila atakayekuja ni mwanasiasa so tuangalie nafuu tunaiyoipata lakin wote ni wanasiasa.
 
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba,watumishi wa umma mliajiriwa na umma moja kwa moja tangu mlipotoka vyuoni,Kama mngeajiriwa angalau miezi miwili na wahindi au wachina ndo ungenielewa.Lakini kwa sababu mliingia kwenye neema moja kwa moja,
alipokuja mtawala aliyewaonyesha kilichopo upande wa pili mnalaani mbingu na ardhi.
Na kwa kukupa taarifa tu, hakuna mtu anayenyonywa kama niliowataja,wakitanguliwa na mkulima.

Na hili ndilo kundi kubwa linaloumia nchi hii,maana lenyewe halijui kitu kinaitwa kupanda madaraja kwa mujibu wa sheria
ni bidii yako na pengine hata hiyo bidii isionekane kabisa,na huna mtu wakumdai rushwa maana ukimzingua mteja anahamia ofisi nyingine
inayotoa huduma kama hiyo. Ofisi za umma mnatupangisha foleni mpaka jioni na kesho yake tunarudi
maana hakuna mbadala.
 
Mwalimu yuleyule ambaye hajawahi kujengewa makazi na serikali, hajapanda daraja miaka 7, hana posho, hana nyongeza ya mshahara kwa miaka 7, analipa kodi na bili zote kwa mshahara wa laki 2.
Vipi akistaafu,mafao anayolipwa na mfuko wa hifadhi ya elimu ukimlinganisha na mfanyakazi wa mhindi?
yeye analipwa 75% na mfanyakazi wa kiwanda cha binafsi analipwa 25%(nssf) kumbuka huyu hana hata pa kufundisha tuition.
Watumishi wa umma mnaruhusiwa kuingiza magari kwa kulipia VAT tu kila baada ya miaka mitano,hiyo siyo double standard?
Nani alikataa kuwa mtumishi wa umma? Na kama ualimu ni adhabu mbona wanasomea kila kukicha na wanataka kuajiriwa ili nafasi hakuna?
 
YAANI WEWE HUNA AKILI HATA KIDOGO NI PUMBA AMBAZO HATA NDEGE HAWAZILI NA INAWEZEKANA SIYO MTUMISHI UNADANDIA MAMBO YA WATU TU
 
Mkuu Kunywa maji moyo uelee,sio kwa chuki hizo.
 
Ila kiukweli ukisomaa sheria za utumishi, kwasasa nilistahili kuwa juu ya daraja hili nililopandishwa sasa, ila yule msukuma yule sijui anaenda kuongoza malaika gani wanaozuia haki za watu tena za kisheria.


Yule ni shetani,ibilisi na afe tena huko
yule kazi yake kamaliza,kazi kwako kupigania tako lako lisife.kama unaweza.
 
UALIMU ni kazi ya watoto wa maskini ambao wana kuwa HAWANA MEANS OR ANY ALTERNATIVE LEFT.
 
YAANI WEWE HUNA AKILI HATA KIDOGO NI PUMBA AMBAZO HATA NDEGE HAWAZILI NA INAWEZEKANA SIYO MTUMISHI UNADANDIA MAMBO YA WATU TU
Sina muda wa kubishana na zuzu ambaye aliishia darasa la pili.

Mimi sio wa mtumishi wa(ndani,kuchunga ng'ombe) kama ulivyojitambulisha wewe. Mimi ni mtumishi wa umma ambaye najielewa. Siwezi kusifia wakati nina madai lukuki ninayoidai serikali.

Wewe mnyonge njoo tukupigishe foreni kwenye huduma za umma hadi akili zikukae sawa. Na babu yenu hayupo kipindi hiki mbona mtanyooka tu.

Hata asipoongeza mishahara kwa kipindi chote hiki nanyi mtapata huduma duni hivyohivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…