Ahsante Simba kwa kushiriki ligi ya Mabingwa

Watanzania wengi hatujui mpira tunafuata upepo tu mechi simba alicheza na kaizer chief simba walikuwa na ball possession ya 80 kwa 20 lakini kaizer alishinda na akafuzu next stage licha ya kucheza pira biriani huo mpira wa kupaka rangi Caf champions league sio sehemu yake.
 

Sawa mnafki, ila kumbuka licha ya kushinda amemiliki mpira over 63%. Sasa sielewi unakuna na twakwimu gani zinakufanya uzungumze haya.
 
umeanza kufatilia mpira jana? Au unajichetua akili?
Babu eeeh mpira unachezwa hadharani na kuna timu unaweza ukaipa imani ya kushinda ugenini kwamba mpira ni dk 90 lakini sio simba hii ya kwako, ukubali ndiyo ivyo ukatae ndiyo ivyo, akuna wachezaji pale aisee
 
Ball possesion inaweza ikawa chini lakini ukacheza mpira unaoeleweka kiufundi usitake kujificha kwenye kichaka icho cha point 3 muhimu wakati mpira wako ni mbovu vile vile, mmekula maharage ya wapi nyie mashabiki vipofu,
 
Vipers kiliwashinda kumalizia tu,bobosi kawakosti,lakini walikua wakifika kirahisi tu,man u si timu nzuri,haifai kuitolea mfano,ni pakacha lile
 
Ni wivu umekufanya uandike upupu.
 
Hata haya pia ni matumaini hewa maana inaweza isiwe kama ulivyoandika.
 
Sio tu hilo .....unaambiwa horoya waliahidiwa 100milion wakimfunga laja......ebu fikiria mechi Moja .....mkwanja wote huo
 
Leo wala mihogo/vyura/utopololo mna mechi.Mngetoa ushauri huko msifungwe nyingi kuliko kuhangaika na yasiyowahusu.
 
hao horoya ni wakawaida tu wanatumia xana nguvu kuliko akili, leo kama raja wasingekosa penati wangekula 4-1, halafu kusema horoya atamfunga vipers ni ushamba wa mpira, huu ni mpira sio maandazi, hata raja anaweza kufungwa nyumbani na simba,
Mzee kwa nini unasema horoya kumfunga vipers ni ushamba! Unamaliza kwa kusema hata raja anaweza kufungwa na Simba, hiyo nayo ni ushamba?
 
Yaani na akili yako ya kiutopolo unaamini Horoya atakuja kushinda hapa 🤣🤣🤣 wakati kule kwao tu waliomba mpira uishe, na kama sio makosa ya Boko na chama tungetoka na ushindi hata wa goli 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…