Ahsante Simba kwa kushiriki ligi ya Mabingwa

Vijana wa mangungu uwa mnapenda kujipa matumaini hewa kweli yani, mkiambiwa ukweli mnapanic kiboya, Kwa mpira huu unaona kabisa uko kwenye right way? Uyo horoya unayemsema kwa sasa hivi sio horoya yule uliyekutana nae akakuzaba bao moja bila, horoya uyu kaboresha kiwango chake tofauti na timu yako kila uchwao inazidi kuporomoka kiwango, kwa maana iyo horoya kwa mkapa kama atapata matokeo mabaya basi ni sare na sio kumfunga, na yeye anakwenda kuchukua point za vipers nyumbani kwao kama na wewe ulivyozichukua uku ukienda moroco kukamilisha ratiba
acha uchawi basi utopolo!
 
Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu ya Simba inachuana vikali na Horoya katika nafasi ya pili hivyo yeyote kati Yao atafuzu.

Kwa namna Simba ilivyocheza dhidi ya vipers ni dhahiri kuwa mwendo wameumaliza yaani horoya watamuua nyumbani Kisha kule Kwa Raja ataenda kukamilisha ratiba. Licha ya kushindwa dhidi ya Raja, Horoya wanaubora na ari kuliko Simba.

Ahsante Simba Kwa kushiriki, karibu super league Kwa hapa mwendo umeumaliza.

Pepo tokaaaaaa kwa Jina la Yesu
 
Vijana wa mangungu uwa mnapenda kujipa matumaini hewa kweli yani, mkiambiwa ukweli mnapanic kiboya, Kwa mpira huu unaona kabisa uko kwenye right way? Uyo horoya unayemsema kwa sasa hivi sio horoya yule uliyekutana nae akakuzaba bao moja bila, horoya uyu kaboresha kiwango chake tofauti na timu yako kila uchwao inazidi kuporomoka kiwango, kwa maana iyo horoya kwa mkapa kama atapata matokeo mabaya basi ni sare na sio kumfunga, na yeye anakwenda kuchukua point za vipers nyumbani kwao kama na wewe ulivyozichukua uku ukienda moroco kukamilisha ratiba

Ni kweli Simba haichezi mpira wa kuvutia kama tulivyo izoea
Lakini ukweli ni kwamba so far bado tupo kwenye right track
Mpaka sasa kosa pekee la Simba ilikua ni kutopata matokeo ugenini kwa Horoya, game tulikua na uwezo nayo kupata hata sare ila kwa Raja itoshe tu kusema HATUWAWEZI

Tuliwaambia tutachukua alama 6 kwa Vipers mkabisha na sasa mnabisha Simba kumpiga Horoya taifa

Kimsingi simba tumebakisha game ya Horoya tu kuingia robo
 
Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu ya Simba inachuana vikali na Horoya katika nafasi ya pili hivyo yeyote kati Yao atafuzu.

Kwa namna Simba ilivyocheza dhidi ya vipers ni dhahiri kuwa mwendo wameumaliza yaani horoya watamuua nyumbani Kisha kule Kwa Raja ataenda kukamilisha ratiba. Licha ya kushindwa dhidi ya Raja, Horoya wanaubora na ari kuliko Simba.

Ahsante Simba Kwa kushiriki, karibu super league Kwa hapa mwendo umeumaliza.
Wewe utopolo huna audacity ya kuiongelea Simba. Deal na loosers league
 
Loosers ligi iyo iyo ilibidi mumuite shetani lucifer awasaidie kushinda badala ya mwenyezi mungu kwa kuchoma moto uwanja wa watu, kama ni loosers ilikuwaje mpaka ukatumia uchawi?
 
Back
Top Bottom