Ahsante Simba kwa kushiriki ligi ya Mabingwa

acha uchawi basi utopolo!
 

Pepo tokaaaaaa kwa Jina la Yesu
 

Ni kweli Simba haichezi mpira wa kuvutia kama tulivyo izoea
Lakini ukweli ni kwamba so far bado tupo kwenye right track
Mpaka sasa kosa pekee la Simba ilikua ni kutopata matokeo ugenini kwa Horoya, game tulikua na uwezo nayo kupata hata sare ila kwa Raja itoshe tu kusema HATUWAWEZI

Tuliwaambia tutachukua alama 6 kwa Vipers mkabisha na sasa mnabisha Simba kumpiga Horoya taifa

Kimsingi simba tumebakisha game ya Horoya tu kuingia robo
 
Wewe utopolo huna audacity ya kuiongelea Simba. Deal na loosers league
 
Wewe utopolo huna audacity ya kuiongelea Simba. Deal na loosers league
Loosers ligi iyo iyo ilibidi mumuite shetani lucifer awasaidie kushinda badala ya mwenyezi mungu kwa kuchoma moto uwanja wa watu, kama ni loosers ilikuwaje mpaka ukatumia uchawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…