Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ulipozungumzia Nyama na Maharage wananchi walikuelewa Ila wanasiasa walikuelewa vizuri zaidi. Umebadili michango ya wabunge bungeni, Dr. Bashiru ameacha kebehi anajadili njaa; Gambo ameacha kujadili propaganda anajadili njaa.
Naomba nikupongeze kwamba umebadili upepo; Mdogo wako Mwiguli amelazimika kutoa taarifa kujibu hoja ya Gambo. Hakuna tena kwenda Burundi tupo hapa hapa tunaanza kuelewa.
Sijui kwanini nilichelewa kukuelewa, sijui kwanini nilichelewa kuelewa maana maharage na nyama, sijui kwanini wabunge WA CCM wamekuelewa kabla yangu. Ila nashukuru nimekuelewa kwakuchelewa.
Nenda Dodoma kwamweleze mtoto wa Malechela kwamba wagogo Wana njaa, vijana Wana njaa , aelewe njaa IPO aache siasa za kudhuia watu kwenda Dodoma akijiona yeye NI mmiliki WA Dodoma. Mkumbishe njaa NI agenda kubwa kuliko ngome ya chama.
Najua Hana njaa ila mkumbushe wagogo Wana njaa. Niombe radhi Kwa kuchelewa kukuelewa.