Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera nami ngoja nikomaeNitoe shukrani zangu zote kwa wadau wote wa jukwaa hili.
Kupitia elimu ya humu nilizingatia maoni ya wadau jinsi kutoboa au kupata kazi serikalin kupitia utumishi.
Hatimae leo naenda kuchukua barua utumishi Dodoma nikaripoti kazini mungu awabariki sana.
Amina
Hata kama ingekuwa jero ningeshukuruUnashukuru mshahara wa laki mbili 200k.
[emoji3516]Nitoe shukrani zangu zote kwa wadau wote wa jukwaa hili.
Kupitia elimu ya humu nilizingatia maoni ya wadau jinsi kutoboa au kupata kazi serikalin kupitia utumishi.
Hatimae leo naenda kuchukua barua utumishi Dodoma nikaripoti kazini mungu awabariki sana.
Mtakwimu daraja la II[emoji3516]
Kada gani mkuu?
Hongera Mkuu JF is home to beMtakwimu daraja la II
HalmashauriTaasisi gani? Hongera sana
Ahsante sanaHongera sana ukawe mtumishi mwema huko