johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sijaleta visingizio, nimeleta ukweli halishi bwashee! Kwani wewe hupendi CCM kibaki peke yake?Acheni visingizio bwashee!
Chama kimoja kina uzuri wake mkuu!Mimi nlishauri siku za nyuma tukiwa kwenye kampeni kwamba wabunge hawa tume na Magu wahakikishe wanarudi bungeni hata kama watapata kura kidogo,
1. Mbowe
2. Lema...
Barabara gani bwashee?Haha [emoji81]
Nichukue fursa hii kuwapa pole wapinzani.
Niwakumhushe ndio wakati sahihi wa kuingia barabarani.
Ni jambo jema!Sijaleta visingizio, nimeleta ukweli halishi bwashee! Kwani wewe hupendi CCM kibaki peke yake?
Hii sio ya kushangilia hata kidogo, embu fikiria madudu mangapi ya serikali yakafichuliwa na upinzani? Na je sasa tutegemee nini baada ya kuwa na bunge la upande mmoja yaani watetezi wa serikali na sio watetezi wa wananchi😠Mimi nlishauri siku za nyuma tukiwa kwenye kampeni kwamba wabunge hawa tume na Magu wahakikishe wanarudi bungeni hata kama watapata kura kidogo,
1. Mbowe
2. Lema
3. Sugu
4. Mdee
5. Msigwa
6. Bulaya
7. Upendo peneza
8. Pr.j
Lakini bavicha kama kawaida yao wakanitukana. Ngoja tuwe na chama kimoja tu sasa maana hayajielewi haya machadema
Na mkifika bungeni, napendekeza.
1. Upitishwe mswaada wa KUFUTA VYAMA VYA UPINZANI kibaki chama kimoja.
2. Rais Magufuli apewe uRais wa maisha. Yaani atawale mpaka siku atakapoingia kaburini.
Sababu.
Kufanya uchaguzi huku kukiwa na matokeo tayari, ni upotevu wa rasilimali. Pesa zilizotumika kwa UCHAFUZI huu, bora zingejenga hata barabara, na wabunge walivyopita tu CCM ingeishia hapo.
Au wadau mnasemaje!
Bunge la chama kimoja linakuwa kali kuliko bunge la upinzani wa ruzuku.Hii sio ya kushangilia hata kidogo, embu fikiria madudu mangapi ya serikali yakafichuliwa na upinzani??? Na je sasa tutegemee nini baada ya kuwa na bunge la upande mmoja yaani watetezi wa serikali na sio watetezi wa wananchi😠
Zanzibar Wanasema Yajayo Ni Dhulma TupuMbona kawaida tu, nchi kuongozwa na utawala dhalimu, yajayo yanafurahisha
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Labda za ubelgiji.Barabara gani bwashee?