Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Msema Kweli Ni Mpenzi Wa MunguBunge la chama kimoja linakuwa kali kuliko bunge la upinzani wa ruzuku.
Wewe subiri tufike 2023 kuelekea 2025.
Baadaye Utarudi Hapa Kufanya Masahihisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msema Kweli Ni Mpenzi Wa MunguBunge la chama kimoja linakuwa kali kuliko bunge la upinzani wa ruzuku.
Wewe subiri tufike 2023 kuelekea 2025.
Haa😁😂Labda za ubelgiji.
Tulia ako anashukuru wana Mbeya mjini.
Wamempelekea [emoji23]Haa[emoji16][emoji23]
Nileteeni Tulia, Nitatulia
Akatulie [emoji23][emoji16][emoji16]Wamempelekea [emoji23]
Hapana CCM ni mpango wa Mungu[emoji16]Akatulie [emoji23][emoji16][emoji16]
Tanzania Ni Tajiri
Ccm Ni Shida!!!
Enzi za Nyerere alikuwepo mbunge Masoud pale Temeke moto wake sijawahi kuuona hadi leo hakuna cha Lissu, Dr Slaa wala Zitto hawamfikii.Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Baadaye Utarudi Hapa Kufanya Masahihisho
Naunga mkono hoja. Watoto wa maskini wanakaa chini shuleni huko kwa kukosa madawati, wanabanana wanafunzi hadi 100 kwa ukosefu wa madarasa halafu Kodi za wazazi wao zinatumika kipuuzi namna hii!!?Na mkifika bungeni, napendekeza.
1. Upitishwe mswaada wa kufutwa vyama vya Upinzani,kibaki chama kimoja.
2. Rais Magufuli apewe uRais wa maisha. Yaani atawale mpaka siku atakapoingia kaburini.
Sababu.
Kufanya uchaguzi huku kukiwa na matokeo tayari, ni upotevu wa rasilimali. Pesa zilizotumika kwa uchaguzi huu, bora zingejenga hata barabara, na wabunge walivyopita tu CCM ingeishia hapo.
Au wadau mnasemaje!
Kabisa ,nimehuzunika sana kupoteza bando nafuatilia uchaguzi ambao hauna hata fair condition.Mimi nasema wazi tulipoteza muda bure kuwasikiliza wagombea.Na mkifika bungeni, napendekeza.
1. Upitishwe mswaada wa kufutwa vyama vya Upinzani, kibaki chama kimoja.
2. Rais Magufuli apewe Urais wa maisha. Yaani atawale mpaka siku atakapoingia kaburini.
Sababu
Kufanya uchaguzi huku kukiwa na matokeo tayari, ni upotevu wa rasilimali. Pesa zilizotumika kwa uchaguzi huu, bora zingejenga hata barabara, na wabunge walivyopita tu CCM ingeishia hapo.
Au wadau mnasemaje!
Wapinzani kukosa wabunge wengi bungeni ndio kusema nchi haina wapinzani? Mch Mtikila (RIP) hakuwahi kuwa mbunge ila alikuwa mpinzani makini na shupavu.Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame.
CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa kutuchagua.
Angalizo kwa viongozi wa CCM waliochaguliwa ni moja tu kwamba CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani.
Hebu fikiria kidogo maisha bila shetani nani wa kumsingizia dhambi?
Maendeleo hayana vyama!
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
Demokrasia ndio basi tena tunabaki na Kibajaji na musukumaKwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame.
CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa kutuchagua.
Angalizo kwa viongozi wa CCM waliochaguliwa ni moja tu kwamba CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani.
Hebu fikiria kidogo maisha bila shetani nani wa kumsingizia dhambi?
Maendeleo hayana vyama!
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
Warudi bungeni ili muwasingizie kuwa wamechelewesha Maendeleo?Mimi nlishauri siku za nyuma tukiwa kwenye kampeni kwamba wabunge hawa tume na Magu wahakikishe wanarudi bungeni hata kama watapata kura kidogo
1. Mbowe
2. Lema
3. Sugu
4. Mdee
5. Msigwa
6. Bulaya
7. Upendo peneza
8. Pr.j
Lakini BAVICHA kama kawaida yao wakanitukana. Ngoja tuwe na chama kimoja tu sasa maana hawajielewi hawa CHADEMA
AhahahhKwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame.
CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa kutuchagua.
Angalizo kwa viongozi wa CCM waliochaguliwa ni moja tu kwamba CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani.
Hebu fikiria kidogo maisha bila shetani nani wa kumsingizia dhambi?
Maendeleo hayana vyama!
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
Kilikuwa.chama kimoja tu,ukitaka iwe hivyo sharti ufute Kwanza vyama vingineEnzi za Nyerere alikuwepo mbunge Masoud pale Temeke moto wake sijawahi kuuona hadi leo hakuna cha Lissu, Dr Slaa wala Zitto hawamfikii.
Pale Tandahimba alikuwepo Stephen Nandonde ukirudi Dodoma unamkuta Kuwayawaya S Kuwayawaya serikali ilikuwa inasimama dede hadi mawaziri wanatoa lugha chafu bungeni!