GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema.
Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa Arlington, Texas, pia alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja cha muda wa maangalizi baada ya kukiri kupiga puri ndani ya ndege, Ofisi ya Mwanasheria wa Wilaya ya Arizona nchini Marekani ilisema. Ilidaiwa alifanya kitendo hicho mara nne katika safari ya saa tatu.
Taarifa: habarileo_tz
Kuna Mijitu mingine hapa duniani ni Mibwege na Milofa kweli kweli. Ningekuwa Hakimu ningemfunga Maisha.
Hivi unaanzake kupiga Punyeto Ndege ikiwa Angani huku Rubani akihangaika Kuyakata Mawingu?