Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Fanya tafiti sasahivi miji kama San Francisco Kuna demonstration zinafanyika kupinga Robo Taxi kutokana na madhara yanayojitokeza .AI inaweza kutambua daraja lililokatika labda kama sio AI nayoijua mimi, na inaweza kufanya kazi zaidi ya binadamu acha kukariri.
nadhani issue sio maandamano san francisco kuna maandamano mengine yalitokea miezi miwili imepita hollywood Los Angeles County, wasanii walikua wana wasi wasi huhusu usalama wa kazi zao mbeleni, AI ina uwezo wa kuchukua kazi zote ndio maana wanaoijua AI vizuri wanaomba wao wenyewe regulation ziwepo mapema, mfano china wameshaanza kufanya upasuaji kutumia Ai, changamoto za robo tax ni changamoto ndogo, na hasa zinahusu ni kiasi gani bot aliopo kwenye tax husika amelishwa taarifa kuhusiana na maeneo anayofanya kazi.Fanya tafiti sasahivi miji kama San Francisco Kuna demonstration zinafanyika kupinga Robo Taxi kutokana na madhara yanayojitokeza .
AI sio kitu cha kawaida ni kitu unakipa mafunzo kama binadamu na kitakumbuka kwa ufanisi zaidi ya binadamuAI Haina utofauti na computer au cm zetu , ni mashine tu ya kawaida
AI ni tishio namba moja saizi dhidi ya binadamu vita ni vita mura.Binadamu ni uumbaji halisi wa Mungu vingine vyote viko chini yake
Sent using Jamii Forums mobile app
AI haiwezi kufanya kazi bila command ya binadamu kwahiyo bado binadamu yuko juuAI ni tishio namba moja saizi dhidi ya binadamu vita ni vita mura.
hatuelewani kitu kimoja hapa, hasa kuhusu uelewa wa jumla wa AI, yaani kama binadamu anaenda shule na kufundishwa ujuzi a,b na c basi na mashine yoyote inaweza kufundishwa huo ujuzi a,b na c, kwaio sio binadamu anaekomand hapa, kuna aina moja ya AI ni reinforcement Ai ambayo binadamu anahusika, na kitu muhimu hapa ni haijalishi hii tecknolojia imetengenezwa na binadamu sababu ikishatengenezwa inaweza kua kwa namna ambayo binadamu anakua hana mamlaka nayo tena, yaani mfano atengenezwe bot alishwe taarifa za namna ya kumtengeneza bot mwingine na namna ya kulinda utawala wao hapatakalika duniani.AI haiwezi kufanya kazi bila command ya binadamu kwahiyo bado binadamu yuko juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo movie zimekuharibuhatuelewani kitu kimoja hapa, hasa kuhusu uelewa wa jumla wa AI, yaani kama binadamu anaenda shule na kufundishwa ujuzi a,b na c basi na mashine yoyote inaweza kufundishwa huo ujuzi a,b na c, kwaio sio binadamu anaekomand hapa, kuna aina moja ya AI ni reinforcement Ai ambayo binadamu anahusika, na kitu muhimu hapa ni haijalishi hii tecknolojia imetengenezwa na binadamu sababu ikishatengenezwa inaweza kua kwa namna ambayo binadamu anakua hana mamlaka nayo tena, yaani mfano atengenezwe bot alishwe taarifa za namna ya kumtengeneza bot mwingine na namna ya kulinda utawala wao hapatakalika duniani.
na tumepewa mamlaka ya kuvitiishaBinadamu ni uumbaji halisi wa Mungu vingine vyote viko chini yake
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna sinema iloniharibu, labda kitu nachokisema kinaeza tokea mwaka 2250 tukiwa ahela, lakini inawezekana kumtengeneza bot mmoja tukamlisha maarifa ya kutengeneza bot wengine na wakawa na utawala wao, vitu vingine vyote watavifanya kama tutawapa maarifa hayo, na tukawaacha waendelee na maisha yao.Dogo movie zimekuharibu
Bila mkono wa binadamu AI si lolote si chochotena tumepewa mamlaka ya kuvitiisha
ni sawa na kusema bila Mungu binadamu si chochote, si lolote, lakini unaona watu wanatengeneza hadi nyama maabara, watoto wanakuzwa maabara, mtoa mada alisema AI haiwezi chukua utashi wa binadamu hapo ndo kwenye shida utashi ushachuliwa kitambo bado kuleta madhara tu
mtoa mada kasema AI haiwezi chukua nafasi ya utashi wa binadamu, sio kweli labda kama hujui ai inafanyaje kazi, utafiti upi unataka nifanye, ili nicomment, kwahio ukiwa unajifunza unatakiwa kupata notes za ushindi haya madhara ya elimu yetu, chambua na wewe ukavifanyie kazi baadhi ya point au unasubiri AI ikusaidieFanya utafiti kidogo kabla ya ku comment,hii mada ni pana sana na kuna watu tunajifunza pia...!Yapo mambo mengi yaonekanayo kwenye movies ambayo katika uhalisia hayawezekani kabisa.Pia fatilia behind the scene ya hizo movie,utashangaa sana na kinacho fanyika huko.Kwenye hizo movie production kubwa duniani kama MARVEL,wanatumia IA softwares kutengeneza hizo impossible actions kuwa possible actions...!
Person of interest...!Idea yako umeitoa hapa.
Mkuu sio kweli kuwa kama daraja limekatika eti gari litaendelea sio kweli litasimama. Ndio maana likikutana mtu mbele linasimama. Lina camera za kudetect vitu.Wazungu wamekuwa wakipambana kuwezeshwa AI (akili bandia) itawale sehemu mbalimbali na kuondoa uhitaji wa akili au maamuzi ya binadamu katika kufanikisha au kufanya kazi mbalimbali.
Kuna maeneo watafanikiwa ila sio kote, mfano haya magari ya kujiendesha yenyewe sio salama kabisa maana yapo programmed let's say ume li command gari kwenda point B alafu itokee mbele kuna daraja limekatika, lenyewe halina utashi wa kujizuia litaendelea tu mpaka kutumbukia haliwezi kujizuia, kamwe Nature hakuna binadamu ambaye anaweza kushindana nayo.