hatuelewani kitu kimoja hapa, hasa kuhusu uelewa wa jumla wa AI, yaani kama binadamu anaenda shule na kufundishwa ujuzi a,b na c basi na mashine yoyote inaweza kufundishwa huo ujuzi a,b na c, kwaio sio binadamu anaekomand hapa, kuna aina moja ya AI ni reinforcement Ai ambayo binadamu anahusika, na kitu muhimu hapa ni haijalishi hii tecknolojia imetengenezwa na binadamu sababu ikishatengenezwa inaweza kua kwa namna ambayo binadamu anakua hana mamlaka nayo tena, yaani mfano atengenezwe bot alishwe taarifa za namna ya kumtengeneza bot mwingine na namna ya kulinda utawala wao hapatakalika duniani.