Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
- #41
Upewe kitengo BAKITAInaitwa "akili mnemba" siyo "akili bandia"
Ukisema akili bandia maana yake "fake intelligence"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upewe kitengo BAKITAInaitwa "akili mnemba" siyo "akili bandia"
Ukisema akili bandia maana yake "fake intelligence"
Kweli kabisa, in most parts AI inafanya kazi kwa ufanisi sanaAI inaweza kutambua daraja lililokatika labda kama sio AI nayoijua mimi, na inaweza kufanya kazi zaidi ya binadamu acha kukariri.
Elon mask = Elon MuskIna maana tukishawekewa hivyo vi-chip vya Elon Mask shuleni ni kwenda kufuata PRACTICALS tu maana Theory una-download tu kupitia AI.... Na UFAHAMU wako utaishi MILELE maana tunanyofoa CHIP tunamdumbukizia ROBOT...
Uhuru ni Kazi
Panapo Nia ya Maendeleo na Ustawi wa pamoja na kwa pamoja, Kazi ni Imani.
Muktadha wa Uhuru katika Jamii, kwa wakati, ni Haki na Wajibu katika ‘fanusi UTU’ ilivyo ni vipanda-shuka vya ‘Kujitambua’ na ‘kuwajibika’ katika mioyo na akili ya wanajamii wenyewe.
Vipanda-shuka vya kujitambua na kuwajibika, huathiriana na hadhi na uweza wa wanajamii katika kuyamudu mazingira yao ya maendeleo na ustawi -- iwe kutoka ndani kwenda nje ama/na kutoka nje kuja ndani.
Hadhi na Uweza ni fanusi ya ‘Mwangaza wa Ufahamu’ katika mwanajamii ambavyo humjalia usentienti wa fikra na hisia, pia dhamira na utashi katika akili.
Kuna hadhi mbili kulingana na usentienti kadiri ya dhamira na utashi wa mwanajamii; (1) Nidhamu ya Uwoga na (2) Nidhamu ya Kujiamini; ambavyo hukadirisha ustawi wa unyonge ama uthabiti wa ‘hali na mali’ katika muktadha wa Maendeleo ya Jamii.
Na kumbe basi, maendeleo yana misingi ya ‘hali’ na ‘mali’ na si kimoja pasipo kuzingatia kingine; kwa kuwa kiuono na ufikirifu mifumo, maendeleo yanaweza kutafsiriwa kama mabadiliko ama mageuzi ya kijamii yanayokadirisha Sura ya Ustawi unatoka kwenye Uhafifu wa Mahitaji ya Kimsingi ya mwanadamu kwenda kwenye Sura Bora ya Uwepo wa Huduma za Kijamii na wenye ‘Hali za kuridhisha’ kwa Watu wenyewe.
‘Hali za Kuridhisha’ ndiyo shauri mfungamano kwa jamii – lenye kuleta uhitaji wa mifumo ya Upangiliaji, Utengeneaji, Uongozeaji na Uthibiti wa rasilimali na mazingira ndani/nje ili Shabaha ya hatua za kimaendeleo ziwedhahiri na zenye kukadirika ifaavyo.
Kuna namna mbili za kunasibisha mfungamano wa jamii, (1) Siasa za Nchi na (2) Ushikirishwaji wa wanajamii katika mipango ya maendeleo; ambavyo vyote viwili hutegemea ‘uwezo wa kiutambuzi’ na ‘Mwangaza wa Ufahamu’ kadiri ulivyo kwa kila mwanajamii.
Dhana ya ‘Uhuru na Umoja’ inahusisha ‘mawanda’ na ‘vina’ vyote vya fanusi jamii, nadharia migongano na muingiliano wa alama oanifu katika jamii/taifa/nchi-dola; ambavyo hata ‘Siasa na Tawala’ ni kielelezo cha ‘uchanga’ ama ‘ukomavu’ wa muktadha wa ‘kujichagulia’ ile nasibu ya mapito kwa sura ya maendeleo na ustawi wa pamoja.
Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ni nasibu ya yote mawili kwa pamoja: ‘mipango ya maendeleo kwa ushirikishwaji’ na pia ‘siasa za ugombeaji na kushika nafasi za madaraka’ ili kuyatekeleza mageuzi ya kijamii ilivyo ni kisiasa, uchumi, utamaduni na mazingira.
Madaraka na Utawala katika muktadha wa Ujamhuri ni dhamana ya wachache kuwakilisha wanachi/wanajamii wengi kwa mujibu wa mifumo, utendaji wenye kanuni na taribu zake kwa upande mmoja na hali mamlaka kamili ni ya wananchi/wanajamii wote—kukadirisha aidha mifumo piramidi ya hiraki za utendaji na nguvu za maamuzi ya mwisho yaliyoko kwa wachache walio juu ama ‘Sovereini Jumuifu’ ya ‘Umma Uliotaamulika’.
"Freedom is Work
Where there is a purpose for development and prosperity together, Work is Faith.
The context of Freedom in society, over time, is Rights and Responsibilities in the 'light of humanity' as it is the gradation of 'Self-awareness' and 'Accountability' in the hearts and minds of the community themselves.
The gradation of self-awareness and accountability interact with the status and power of individuals in managing their development and well-being, whether from within or from outside.Status and power are the manifestations of 'Enlightenment Awareness' in an individual that grant them the consciousness of thought and feeling, as well as intent and will in the mind.
There are two statuses based on intent and will of an individual; (1) Discipline of Fear and (2) Discipline of Confidence; which assess the well-being of weakness or stability of 'life and property' in the context of Community Development.
Therefore, development has the foundation of 'life' and 'property,' and not one without considering the other; for, in vision and thinking systems, development can be interpreted as social changes or reforms that assess the Shape of Prosperity moving from the Insufficiency of Basic Human Needs to a Better Shape of Social Services and 'Satisfactory Conditions' for the People themselves.'Satisfactory Conditions' are the connection for the community - requiring systems for Planning, Production, Management, and Control of resources and environments inside/outside so that the objectives of development actions are transparent and appropriately assessed.
There are two ways to associate the community connection, (1) National Politics and (2) Involvement of the community in development plans; both of which depend on the 'cognitive capacity' and 'Enlightenment Awareness' of each individual.
The concept of 'Freedom and Unity' involves both 'scope' and 'vines' of societal concepts, theories of conflicts, and the interaction of symbolic symbols in society/nation/state; in which even 'Politics and Governance' are an expression of the 'immaturity' or 'maturity' of the context of 'self-determination' that governs the fate of development and shared prosperity.
Socialism and Self-reliance are the destiny of both: 'development plans for participation' and 'politics of competition and holding positions of power' to implement social reforms in politics, economy, culture, and the environment.
Authority and Governance in the context of the Republic is the responsibility of a few representing the many citizens/communities according to the systems, rules, and procedures on one hand, and the complete authority is of the citizens/communities themselves - assessing either a pyramid hierarchy of actions and ultimate decision-making power in the hands of a few above or the 'Comprehensive Sovereignty' of the 'Elected Public.'"
Certainly, you can translate "hali" as "social state" in the provided text. Here's the updated translation:
"Freedom is WorkWhere there is a purpose for development and prosperity together, Work is Faith.The context of Freedom in society, over time, is Rights and Responsibilities in the 'light of humanity' as it is the gradation of 'Self-awareness' and 'Accountability' in the hearts and minds of the community themselves.The gradation of self-awareness and accountability interact with the status and power of individuals in managing their development and well-being, whether from within or from outside.Status and power are the manifestations of 'Enlightenment Awareness' in an individual that grant them the consciousness of thought and feeling, as well as intent and will in the mind.There are two statuses based on intent and will of an individual; (1) Discipline of Fear and (2) Discipline of Confidence; which assess the well-being of weakness or stability of 'life and property' in the context of Community Development.Therefore, development has the foundation of 'life' and 'property,' and not one without considering the other; for, in vision and thinking systems, development can be interpreted as social changes or reforms that assess the Shape of Prosperity moving from the Insufficiency of Basic Human Needs to a Better Shape of Social Services and 'Satisfactory Conditions' for the People themselves.'Satisfactory Conditions' are the connection for the community - requiring systems for Planning, Production, Management, and Control of resources and environments inside/outside so that the objectives of development actions are transparent and appropriately assessed.There are two ways to associate the community connection, (1) National Politics and (2) Involvement of the community in development plans; both of which depend on the 'cognitive capacity' and 'Enlightenment Awareness' of each individual.The concept of 'Freedom and Unity' involves both 'scope' and 'vines' of societal concepts, theories of conflicts, and the interaction of symbolic symbols in society/nation/state; in which even 'Politics and Governance' are an expression of the 'immaturity' or 'maturity' of the context of 'self-determination' that governs the fate of development and shared prosperity.Socialism and Self-reliance are the destiny of both: 'development plans for participation' and 'politics of competition and holding positions of power' to implement social reforms in politics, economy, culture, and the environment.Authority and Governance in the context of the Republic is the responsibility of a few representing the many citizens/communities according to the systems, rules, and procedures on one hand, and the complete authority is of the citizens/communities themselves - assessing either a pyramid hierarchy of actions and ultimate decision-making power in the hands of a few above or the 'Comprehensive Sovereignty' of the 'Elected Public.'"
"Freedom is WorkWhere there is a purpose for development and prosperity together, Work is Faith.The context of Freedom in society, over time, is Rights and Responsibilities in the 'light of humanity' as it is the gradation of 'Self-awareness' and 'Accountability' in the hearts and minds of the community themselves.The gradation of self-awareness and accountability interact with the status and power of individuals in managing their development and well-being, whether from within or from outside.Status and power are the manifestations of 'Enlightenment Awareness' in an individual that grant them the consciousness of thought and feeling, as well as intent and will in the mind.There are two statuses based on intent and will of an individual; (1) Discipline of Fear and (2) Discipline of Confidence; which assess the well-being of weakness or stability of 'life and property' in the context of Community Development.Therefore, development has the foundation of 'life' and 'property,' and not one without considering the other; for, in vision and thinking systems, development can be interpreted as social changes or reforms that assess the Shape of Prosperity moving from the Insufficiency of Basic Human Needs to a Better Shape of Social Services and 'Satisfactory Conditions' for the People themselves.'Satisfactory Conditions' are the connection for the community - requiring systems for Planning, Production, Management, and Control of resources and environments inside/outside so that the objectives of development actions are transparent and appropriately assessed.There are two ways to associate the community connection, (1) National Politics and (2) Involvement of the community in development plans; both of which depend on the 'cognitive capacity' and 'Enlightenment Awareness' of each individual.The concept of 'Freedom and Unity' involves both 'scope' and 'vines' of societal concepts, theories of conflicts, and the interaction of symbolic symbols in society/nation/state; in which even 'Politics and Governance' are an expression of the 'immaturity' or 'maturity' of the context of 'self-determination' that governs the fate of development and shared prosperity.Socialism and Self-reliance are the destiny of both: 'development plans for participation' and 'politics of competition and holding positions of power' to implement social reforms in politics, economy, culture, and the environment.Authority and Governance in the context of the Republic is the responsibility of a few representing the many citizens/communities according to the systems, rules, and procedures on one hand, and the complete authority is of the citizens/communities themselves - assessing either a pyramid hierarchy of actions and ultimate decision-making power in the hands of a few above or the 'Comprehensive Sovereignty' of the 'Elected Public.'"
BINADAMU wapi anawazungumzia labda Wazungu lakini sisi na yeye hamna kituAI inaweza kutambua daraja lililokatika labda kama sio AI nayoijua mimi, na inaweza kufanya kazi zaidi ya binadamu acha kukariri.
Mfano ukaambiwa uchague AI AU AKILI ZA WANA CCM KIPI BORA. hebu angalia hata akili za kina marope napena na kina maharage ya mbeya hivi si bora hizo AI TUWazungu wamekuwa wakipambana kuwezeshwa AI (akili bandia) itawale sehemu mbalimbali na kuondoa uhitaji wa akili au maamuzi ya binadamu katika kufanikisha au kufanya kazi mbalimbali.
Kuna maeneo watafanikiwa ila sio kote, mfano haya magari ya kujiendesha yenyewe sio salama kabisa maana yapo programmed let's say ume li command gari kwenda point B halafu itokee mbele kuna daraja limekatika, lenyewe halina utashi wa kujizuia litaendelea tu mpaka kutumbukia haliwezi kujizuia, kamwe Nature hakuna binadamu ambaye anaweza kushindana nayo.
ni sawa na kusema bila Mungu binadamu si chochote, si lolote, lakini unaona watu wanatengeneza hadi nyama maabara, watoto wanakuzwa maabara, mtoa mada alisema AI haiwezi chukua utashi wa binadamu hapo ndo kwenye shida utashi ushachuliwa kitambo bado kuleta madhara tu
SIO madaraja na barabara za afrika ambazo kila siku wanatanua na zinaendeleaAI inaweza kutambua daraja lililokatika labda kama sio AI nayoijua mimi, na inaweza kufanya kazi zaidi ya binadamu acha kukariri.
Acha kuwakatisha tamaa wazungu wa watuWazungu wamekuwa wakipambana kuwezeshwa AI (akili bandia) itawale sehemu mbalimbali na kuondoa uhitaji wa akili au maamuzi ya binadamu katika kufanikisha au kufanya kazi mbalimbali.
Kuna maeneo watafanikiwa ila sio kote, mfano haya magari ya kujiendesha yenyewe sio salama kabisa maana yapo programmed let's say ume li command gari kwenda point B halafu itokee mbele kuna daraja limekatika, lenyewe halina utashi wa kujizuia litaendelea tu mpaka kutumbukia haliwezi kujizuia, kamwe Nature hakuna binadamu ambaye anaweza kushindana nayo.
Tuna changamoto moja ambayo inasababisha wazungu watuache mbali. Tafsiri ya uwezo wa kufikiri. Kwetu sisi uwezo wa kufikiri hatuupimi kwa kutatua matatizo kwa urahisi bali katika ugumu.Wanafunzi wavyuo kwasasa kufikiri kunaenda kupungua kama sio kuisha kabisa. Amini nawaambia wanachuo 7kati ya10 wanatumia hizi AI kufanya assignments za nje ya darasa
Hamnunui makamusi salary tutapata wapiUpewe kitengo BAKITA
FIKIRIA UPYAUtashi wa binaadam hauwezi kuchukuliwa na kiumbe chochote iwe bot ama mnyama mwituni.
Utashi ni inborn power aliyopewa binaadam pekee katika ya viumbe wote waliopo hapa duniani.
AI anapewa characteristics za binaadam lakini sio Utashi.
Infact hao watengeneza AI suala la Utashi wa binaadam limekua likiwatesa sana maana of all the things they can copy, they will never be able to imitate THE WILL (Utashi).
Kama alivyosema Mshana hapo juu, chenye mkono wa binaadam kitabaki under control ya binaadam.
A human is a very complex being, so complex it creates its own demise.
Kwa hivyo, UTASHI si 'Ufahamu Hasa' bali mambo ya akili na uhuru wake wa kiutambuzi--kufananisha 'mtu' na 'mtambo' kwa neno la utashi si suala la 'uwepo wa roho' ama 'utokuwepo wa roho'... Mambo ya 'Roho' ni Elimu nyingine ambayo ina hitaji rizayati ya Elimu 3.0: Ilimu ilivyo ni metafizikia ya Elimu.Mimi: translate: "Basi kiufundi, ‘siasa za ujamaa na kujitegemea’ haziwezekani katika jamii isiyo na taamuli kamili kwa mifumo yake, ustawi na maendeleo yake; kwa kuwa vipanda-shuka vya ‘umma wenye kujua isivyobora’, kukadirishwa kwa elementi za ‘Kujitambua’ na ‘Wajibikaji’, vitaiponza jamii kuingia katika majaribu ya ‘mifumo piramidi’ ambavyo watu wachache wenye namna wanaweza ‘kujichimbia mizizi ya kiutawala’ na basi ‘kupiga pini’ mawezekano ya kweli kwa Haki na Fursa Sawa kwa wote—kuteka nyara mifumo ya ‘siasa za nchi’ na hata ‘ushirikishwaji wa dhati’ wa wananchi kwa ajili ya maendeleo na ustawi bora kwa wote."
Mashine AB: Here is the translation of the provided text:
"Technically, 'socialism and self-reliance politics' are not feasible in a society lacking full determination within its systems, well-being, and development; because the fluctuations of an 'informed public,' the assessment of elements of 'self-awareness' and 'accountability,' would lead the society into the trials of 'pyramid systems' where a few individuals of a certain kind can 'entrench themselves in governance' and subsequently 'pin down' true possibilities for equal rights and opportunities for all—seizing control of 'national politics' systems and even the 'genuine participation' of citizens in pursuit of development and collective well-being for all."
Mimi: that is satisfactory and good--take a note within these contexts of presentation
Mashine AB: I'm pleased to hear that the translation is satisfactory for you, and I'll certainly take note of your preferences for future presentations within similar contexts. If you have any more requests or need further assistance with anything else, please feel free to ask.
Ukisoma kidogo kuhusu programming utakuja kubadili hii kauli yako. Mengine ni self control na machine learning, yaani yanajifunza kama wewe unavyo jifunza unapo kosea. Labda unapo sema binadamu ni wapekee kwenye hisia au biological characteristics lakini sio kwenye utendaji kazi.AI haiwezi kufanya kazi bila command ya binadamu kwahiyo bado binadamu yuko juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa wengi tutakupinga ili tuonekane tunapinga ila ukweli ndo huo. Kuna mchakato Israel wanataka kutumia robots kama wanajeshi kamili na hawataingiliwa kwenye utendaji kazi na binadamu ila sheria za UN ndo kikwazohakuna sinema iloniharibu, labda kitu nachokisema kinaeza tokea mwaka 2250 tukiwa ahela, lakini inawezekana kumtengeneza bot mmoja tukamlisha maarifa ya kutengeneza bot wengine na wakawa na utawala wao, vitu vingine vyote watavifanya kama tutawapa maarifa hayo, na tukawaacha waendelee na maisha yao.
FIKIRIA UPYA
Tumia, Uono na Ufikirifu Mifumo.
Kwa namna ya uono na ufikirifu mifumo--ambavyo hata mashine inaweza kuutumia; na kimsingi inautumia huu wakati wote--utashi ni jambo linalohusiana na 'Uwezo wa Kuchagua/kujichagulia'.
Kwenye lugha ya mashine hili huwa linakwenda na mambo ya 'Nyuzi za Uhuru'--watundu wa kupangilia lugha za mifumo na alogarithimu zake hulitaja kwa kiingereza kama 'degree of freedom'--Sasa, Je, 'nyuzi za uhuru kwa mapana yaliko na tena katika muktadha upi?
Akili bandia inatumia alama za ufikirifu ambazo ndiyo asili ya ufikirifu wa akili ya mwanadamu ambavyo kila neno lina alama akilini--alama hizi huingiliana ili kutengeneza 'muktadha' wa maana ilivyo ni 'vina vya tafsiri'.
Kwa mfano ikiwa haufahamu, ni bora ufahamu na kujua ilivyobora--kila tukio ama wezekano lina pembe tatu: Mtenda, Kitendo na Matokeo.
Muktadha ni 'duara la Mtenda, Kitendo na Matokeo' kwa tafsiri zenyekubidi kufungamana na 'wakati', na 'Wapi' ambavyo ndiyo tunaweza kukadirisha tafsiri za nani kafanya nini hapa/pale--nini, kimefanyika hapa-pale; na basi tofauti ya 'kabla' na 'baada' ya kitendo/tukio.
Haya ndiyo yanakadirisha 'jiometria ya utendekavyo maamuzi jamii'--ambavyo ni lugha yunivasali kwa usifaakili wa kiutu, bandia ama/na sinthesia.
Kwa hivyo 'akili bandia' inayoutashi--swali ni je, ni wa 'nyuzi gani za uhuru' katika 'mazingira yake ya utambuzi, kisomo na kujiimarisha kisomo'?
Haya hufanya muktadha wa kujifunza na kujichimbisha kisomo wa mashine ama mtu... Wenye kuzungumza lugha ya kiingereza hutaja haya kama 'reinforced learning--deep learning'
Akili bandia zinauwezo wa kusoma kwa kuimarisha visomo vyake--jambo linakadirisha ongozeko la 'nyuzi za uhuru' katika kuotea mipangilio sahihi ya 'vina vya tafsiri'.
Kwenye mfano wa tundiko la hapo juu nikitumia Akili Bandia (ChatGPT) --kila ninapoandika 'take a note' maana yake ninakazia 'alogarithimu za 'Utashi' wa Akili Bandia ili ijue bora ni mpangilio upi unaonifaa 'maarifa yangu' ambapo tayari wakati huo huo yamekuwa ni 'maarifa ya akili bandia' kwenye teminali yake.
Kwa hivyo, UTASHI si 'Ufahamu Hasa' bali mambo ya akili na uhuru wake wa kiutambuzi--kufananisha 'mtu' na 'mtambo' kwa neno la utashi si suala la 'uwepo wa roho' ama 'utokuwepo wa roho'... Mambo ya 'Roho' ni Elimu nyingine ambayo ina hitaji rizayati ya Elimu 3.0: Ilimu ilivyo ni metafizikia ya Elimu.
Fremukazi ya Elimu 2.0 ambayo inaweza kukupa 'mwangaza' wa kuratibu mafikara yako kuhusu chochote ni 'Pembe Tatu Akili' ilivyo ni:-
View attachment 2739756
Ukiwa ni Rizayati ya Elimu 3.0; 'Trizania' inaweza kukupa kukurahisishia intuji kwa mafikara yenye kutungishia na kutengenea fikra juu ya 'Sura ya Nchi na Tawala ya Afrika ama Dunia ama Sayari yoyote Ulimwenguni'...
View attachment 2739760
Kwa hivyo ni rahisi hata 'kukufanya visomo' kwa Utaifa ama Stawi wa Viumbe Hai, Viumbe Hai Mitambo katika mazingira 'Halisi' ama 'Uvichualini'...
Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity
= 6 : Rizayati ya Elimu 3.0 = Dhana ya Usentieti ni jambo linalokadirika kwa 'kujisikia, vina vya tafsiri kwa hisia na fikra, na akili'. Utu ni tunu ya usentienti, ‘Umoja’ pia ni 'hitaji' la kimkakati-maisha kwa jamii sentieti ili kujikimu ama/na kukabiliana na mazingira yake. Hili kwa hapa...www.jamiiforums.com
Hapa ndipo 'shida' iliko -- kwenye 'vina vya tafsiri' juu ya 'Akili' na 'Utashi'.Mimi natambua kwamba Utashi na Akili ni vitu viwili tofauti na kwamba akili haiwezi kuuongoza Utashi ila Utashi unaweza kuiongoza akili na akili haina uhuru nje ya Utashi wa kiumbe alieibeba.
Na basi ‘Akili’ ndiyo ‘chombo cha Utambuzi, Uhuru na Kazi’ kufanya mawezekano ya uweza, nguvu na utukufu kwa mwanajamii/jamii/Taifa/Nchi-dola; ambavyo fahari ya Uhuru ama Utumwa, kimfumo, ni matokeo ya ‘Imani’ ya mtu/mwanajamii juu ya rasilimali zake, uwezo wake na upeo wake kutawala ‘mazingira ya ustawi wake’ na ‘wakati’-- Maendeleo siyo kuwa na vitu kama majengo, barabara, reli, bandari, viwanja vya ndege, motokaa, ndege, meli n.k ndani ya jamii/nchi-dola; bali ubunifu, kujituma na kuwajibika ndiyo hasa nguzo ya UTU HURU na MAGEUZI ya kijamii, uchumi, tawala na mamlaka.
‘Akili’ ndiyo ‘chombo cha Utambuzi, Uhuru na Kazi’ kufanya mawezekano ya uweza, nguvu na utukufu; ambavyo panapo ‘Hekima’ juu ya ‘Heshima ya Kazi’ ni rahisi kubaini ukweli wa kwamba: ‘fedha/mitaji/uwezeaji wa mataifa’ si msingi wa maendeleo/mageuzi ya kweli ya ‘kijamii, uchumi, tawala na mamlaka’ kwa kuwa, kiufundi, hata mipango ya maendeleo kwa kutumia ‘fedha za wengine’ ama ‘ubinafsishaji wa amari kuu za umma’ ni MAZINGAOMBWE YA KIUTU-- Viini macho kwenye ‘vina vya tafsiri’ na ‘Upeo wa Dhati’ katika kuelewa, kutambua na msimamo wa Jamii—jamii yenye ‘Kutojitambua’ ama/na ‘kujitambua isivyobora’ mbele ya adili la ‘UJAMAA na KUJITEGEMEA’.
‘Akili’ ndiyo ‘chombo cha Utambuzi, Uhuru na Kazi’ kufanya mawezekano ya uweza, nguvu na utukufu; ambavyo panapo ‘Hekima’ juu ya ‘Kazi’ ni rahisi kubaini ukweli wa kwamba: msingi wa MAGEUZI/Maendeleo ya kweli katika jamii/Taifa/Nchi-Taifa ni uwezeshaji wa kiakili yenyewe, nishati na rasilimali—rasilimali wakati/taarifa/fedha/watu katika mawanda ya Upangaji, Utengeneaji, Uongozeaji na Uthibiti wa shughuli za wanajamii/taifa/nchi-dola kuifaa shabaha ya ‘Imani ya Utu na Mageuzi’; ilivyo ni Udhamirifu wa Furaha, Uzima wa Stawi katika Umoja, na Liberiti.
Kumbe, Utajiri wa Jamii/Taifa/Nchi-dola si ‘maliasili’ wala ‘idadi kubwa ya watu’ bali uweza, nguvu na utukufu wa ‘UTU wake Jumuifu’; ambavyo ‘koherensia ya miundo na vitendo vyake’ katika ushughuliko wa kila siku wa wanajamii wake unaakisi ‘Ujazi, Afya Njema, na Mwangaza’ tena kukadirisha ‘vina vya tafsiri na upeo’ kwa uwepo wa ‘Nia ya Ushujaa, Ujasiri na Umahiri/Hodari’ katika kukabiliana na ‘maadui wa ustawi’ ilivyo katika msingi ya ‘maadili mema’ na ‘miiko’ ya jamii/taifa/nchi-dola—Jeshi la kulijenga na kulilinda Taifa ilivyo ni ‘Bibi na Bwana’ kukwea katika ‘Utukufu’ wa Mlima Mkuu (Kilimanjaro) wenye kuzibeba tunu za ustawi wa nchi-taifa(Ngao ya Ustawi) ilivyo pia ni asili ya kuzingatia miiko na maadili ya taifa(Mikono kushika Pembe za Ndovu/kuegama katika Ngao ya tunu za Ustawi).
Kumbe, Utajiri wa Jamii/Taifa/Nchi-dola si ‘maliasili’ wala ‘idadi kubwa ya watu’ bali uweza, nguvu na utukufu wa ‘UTU wake Jumuifu’; ambavyo serikali yake inazingatia sera bora zenye kulenga huduma sawa kote mjini na vijijini ili kuwepo na maendeleo yenye kulingana kwa kutumia rasimali fedha/rasilimali wakati/rasilimali taarifa/rasilimali watu kuzingatia mazingira yaliyopo—Mipango miji mjini na vijijini kuwa mazingira wezeshi kwa wanajamii/taifa kustawi na kujiletea maendeleo.
Kumbe, Utajiri wa Jamii/Taifa/Nchi-dola si ‘maliasili’ wala ‘idadi kubwa ya watu’ bali uweza, nguvu na utukufu wa ‘UTU wake Jumuifu’; ambavyo ‘Sauti ya Umma’ ni msingi wa demokrasia na ushirikishwaji ambavyo uhitaji wa Elimu bora kwa wanajamii ni nguzo imara ya maendeleo na ustawi ili kuwapatia wanajamii/nchi ushujaa, ujasiri na umahiri/uhodari wa kuyatawala mazingira yao, tena kwa maendeleo yao na basi kujikwamua na unyonge, kudharaurika pia utegemezi wa mifumo ya tawala—kutokomeza adha ya wanajamii kuwa na kasumba ya ‘kuitegemea’ serikali kwa sehemu kubwa ilivyo kutofaa.
Ajielewi huyo.Anafikiri Ai ni kiumbe tofauti na binadamu.kumbe ni machine tu yanayowekewa computer maprogram yakufanya shughuli fulani.Na anayeweka hayo machapicho kwenye icho kifaa ni binadamu.Dogo movie zimekuharibu
Utashi unajua ni kitu gani?.Kitu kiwe programed ndo uite utashi.Hizo ni computer tu usifikir ni jambo kubwa kwavile.ni sawa na kusema bila Mungu binadamu si chochote, si lolote, lakini unaona watu wanatengeneza hadi nyama maabara, watoto wanakuzwa maabara, mtoa mada alisema AI haiwezi chukua utashi wa binadamu hapo ndo kwenye shida utashi ushachuliwa kitambo bado kuleta madhara tu