Hai wote ni mabeberu. Yaani mchina na west lao Moja.
Unajua wakikaa kama G20 au G7 au G8 wanatugawa kama Berlin conference ilivyofanya??
Nyuma ya pazia sisi nchi duni hasa kutoka Amerika kusini, baadhi ya nchi za Asia na Africa yote ni:
1. Eneo la masoko
2. Mahali pa kupata cheap raw material
3. Mahali pa kupata cheap labour
4. Dumping site ya industrial waste and other toxic waste from mataifa yaliyoendelea
N.k
So wanavyokaa ramani inachorwa wanaambiana kabisa
- wewe utauza pikipiki sehemu Fulani
- wewe magari sehemu Fulani
- wewe nguo
- wewe viatu
Na hivyo hivyo kwenye raw materials wanagawana nani achukue nini wapi.
So China is one of them na huku nje ni disguise TU wanafanya.
We angalia... Hivi kweli Russia na Iran walishindwa kabisa kumsaidia Assad asitoke??....
Yale ni makubaliano, tupe Syria, tutapooza Ukraine. Sasa unaona Trump anaongelea kuhusu mazungumzo kwenye mzozo wa Ukraine.
Mataifa makubwa ni kama wanga na wachawi huku Afrika. Hawaonyeshagi kabisa ushirikiano mchana uraiani. Yaani unaweza sema ni maadui wakubwa sana. Kumbe usiku kilingeni wapo wote na wanapanga wakulogeje.......
They all the same. The only fool in this cycle is poor countries and fools like Kagame.