AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

Strong Institutions zipi hizo ambazo dikteta Kagame amejenga nchini Rwanda wakati yeye ndiye kila kitu...!!!

Sikubaliani kabisa na waliotoa hiyo taarifa.
Sio watu, ni AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…