Wawache wakule kama kule kwa akina nchi ya kitu kidogo MK254Hii nchi tangu Nyerere aachie madaraka kila mtumishi ni mwendo wa kula pesa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawache wakule kama kule kwa akina nchi ya kitu kidogo MK254Hii nchi tangu Nyerere aachie madaraka kila mtumishi ni mwendo wa kula pesa tu
Mkuu, nimepanga Decemba kupita border ya Rusumo, Destination yangu ni Goma DRC.
Vipi barabara kutoka Nyakanazi hadi Rusumo iliisha karabatiwa?
Vipi kuhusu chanjo za corona, kwa kuingia Rwanda ni lazima uchanjwe au wanafanya test za corona?
Kama una taarifa nyepesi nyepesi naomba tupeane maujanja.... Asante
Sijakuelewa .... hizi ni codes au? 😳Mama anaifungua nchi hadi pesa za Corona kapewa. Miundo mbinu mingi haiwezi kuwa hohehahe tena kama ilivyokuwa wakati tukijinadi kutumia pesa za ndani.
Ninakazia (kwa mujibu wa mada) chanjo na dodoso kuhusiana na Corona leo, ni kama waingia Tanzania wala si kama unatoka.
Hivyo basi, jiandae kuwa na uthibitisho wa chanjo au chanjo mbadala utapokuwa unarejea nchini kama uozo huu utakuwa ungalipo.
Sina hakika kama wenye ile dhamana hasa hasa wamekuwa siku zote hawaujui huu ulaji kwa mujibu wa urefu wa kamba hizi au ni - "maji ga nyanja" - JKN.
Habari ndiyo hiyo.