Mkuu, nimepanga Decemba kupita border ya Rusumo, Destination yangu ni Goma DRC.
Vipi barabara kutoka Nyakanazi hadi Rusumo iliisha karabatiwa?
Vipi kuhusu chanjo za corona, kwa kuingia Rwanda ni lazima uchanjwe au wanafanya test za corona?
Kama una taarifa nyepesi nyepesi naomba tupeane maujanja.... Asante