Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Imekuwa kawaida sana siku hizi ukiingia kwenye post kukuta karibia kula aliecomment Uzi kuwa na title ya jf expert member, Hiki cheo ndicho cha juu ukiachana na vile vyeo vya kulipia ama vile vya moderators.
Unakuta kuna mkongwe ama member ambaye ana mchango mkubwa sana na ana reputation kubwa sana humu lakini title yake ni jf expert member ambayo wengi sana wanayo.
Just imagine kuna members kama chief mkwawa, mshana Jr, daby, miss chaga, niffah, the bold, mwl rct na wengine ambao wamepata umaarufu na heshima kubwa humu jukwaani lakini wanalingana na members ambao sometimes wanakuwaga ni average kabisa.
Ilibidi members ambao ni influential humu jukwaani wawe na vyeo vipya ili vikizi hadhi zao...mfano wangepewa cheo cha elite member, chief member, royal member n.k
Hatuwatendei haki magwiji wa hii forum kulingana vyeo na normal users ambao Mara nyingi unakuta nao wana jf expert member
Nawasilisha