Aibu!! Cheo cha jf expert member kimechuja

Aibu!! Cheo cha jf expert member kimechuja

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Imekuwa kawaida sana siku hizi ukiingia kwenye post kukuta karibia kula aliecomment Uzi kuwa na title ya jf expert member, Hiki cheo ndicho cha juu ukiachana na vile vyeo vya kulipia ama vile vya moderators.

Unakuta kuna mkongwe ama member ambaye ana mchango mkubwa sana na ana reputation kubwa sana humu lakini title yake ni jf expert member ambayo wengi sana wanayo.

Just imagine kuna members kama chief mkwawa, mshana Jr, daby, miss chaga, niffah, the bold, mwl rct na wengine ambao wamepata umaarufu na heshima kubwa humu jukwaani lakini wanalingana na members ambao sometimes wanakuwaga ni average kabisa.

Ilibidi members ambao ni influential humu jukwaani wawe na vyeo vipya ili vikizi hadhi zao...mfano wangepewa cheo cha elite member, chief member, royal member n.k

Hatuwatendei haki magwiji wa hii forum kulingana vyeo na normal users ambao Mara nyingi unakuta nao wana jf expert member

Nawasilisha
 
Maprofesa wengi huandika vitabu lakini Tanzania wachache ndio wameandika vitabu. Jee nao wanyanganywe U professor wao pia?
 
Wewe Ni mmoja Kati ya hao uliowataja,? Vyeo havisaidii lolote humu lilia cheo kazini kwako. Pengine hata kwenye familia yako mkeo kakuzidi cheo eti unakuja kulialia humu. Humu Ni sehem ya kushare experience,kuchat,kuhave fan Na kuhabarika sasa cheo kitakusaidia nini.
 
Hapa Mimi nitakuwa msomaji wa Maoni ya WADAU tu
 
........hiyo JF expert member ndiyo nini kwanza mkuu maana hata sijui na najuaje kwamba mie nipo kundi gani!ila hao uliwataja hapo hasa huyu jamaa Mkwawa aisee jukwaa Tech analitendea haki kisawa sawa hilo halina ubishi.
 
Samahani mkuu mbona izo swagga za kishomile za kutaka heshima kuzidi wengine??? Inapotokea umewekwa kundi moja na unaemshusha jua kapandishwa na heshimu tu hakuna namna nae ni Uniquebody Kwa namna yake
Waigrish wanasema "sifa lunogela"" na hakuna asiyeipenda sifa ,,,,,najua unapenda sifa kubwa kubwa za kuheshimika ila ukikuta heshima yako ni sawa na mwingine mpe tu heshima yake
Mwisho nikupongeze "exipati memba Kwa wazo lako la kiexsipati!
"by mimi mwendawazimu!
 
Back
Top Bottom