Aibu: Cosmas Cheka apigwa na Mmalawi lakini cha ajabu atangazwa kashinda

Kapigwa na Mmalawi hata watoto wameona.

Naapa sintaangalia tena ngumi za kijinga zinazoamuliwa mezani.

Azam achana na ngumi acha wapigane kiboya gizani.

Mimi Ni mzalendo kwelikweli lakini nataka haki ionekane ikitendeka
 
Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote , nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya .

Kwa haya yanayofanyika mchi hii haitoendelea kwenye michezo .
Mambo ya uchumi wa kati hayo
 
Boxing za bongo zimejaa wahuni, tokea nmeanza kufuatilia sijawahi kuona boxer mgeni akishinda hapa bongo, wakimuonea huruma watampa draw, AZAM TV waachane na hawa wahun, sasahivi AZAM ni brand kubwa, dunia nzima wanawaangalia kupitia app.
 
Nilikuwa sijawahi muona Cosmas akipigana... Jana nimemuona...kiukweli uwezo wake ni mdogo sana...huwezi linganisha na alivyokuwa kaka yake enzi zile....yaani siku akikutana na bondia kama Mfaume....hakatizi hata raundi mbili.... bondia gani amelegea Kama binti...anarusha ngumi za kike kabisa eti ndio punch.... kujilinda hajui kabisa kila wakati yuko kwenye kamba.....kama anahitaji kuendelea na ngumi nashauri arudi gym kwanza....akatengeneze nguvu...hana nguvu kabisa...yaani kalegea....ndio maana watu wanashangaa utashindaje kwa ulegevu ule.
 
Kapigwa na Mmalawi hata watoto wameona.

Naapa sintaangalia tena ngumi za kijinga zinazoamuliwa mezani.

Azam achana na ngumi acha wapigane kiboya gizani.

Mimi Ni mzalendo kwelikweli lakini nataka haki ionekane ikitendeka
 
Cheka hajamshukuru Rais wa awamu ya tano kwa kuwezesha ushindi wake😂😂
Maana awamu hii hata ukila ugali wako na nyanya chungu ni lazma umshukuru muheshimiwa 🙄😣
 
Nilikuwa sijawahi muona Cosmas akipigana... Jana nimemuona...kiukweli uwezo wake ni mdogo sana...huwezi linganisha na alivyokuwa kaka yake enzi zile....yaani siku akikutana na bondia kama Mfaume....hakatizi hata raundi mbili.... bondia gani amelegea Kama binti...anarusha ngumi za kike kabisa eti ndio punch.... kujilinda hajui kabisa kila wakati yuko kwenye kamba.....kama anahitaji kuendelea na ngumi nashauri arudi gym kwanza....akatengeneze nguvu...hana nguvu kabisa...yaani kalegea....ndio maana watu wanashangaa utashindaje kwa ulegevu ule.
mtu kadondoshwa live hivihivi
 
Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya.

Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
Hapo ni kampeni za CCM zinaamua
 
Nilikuwa sijawahi muona Cosmas akipigana... Jana nimemuona...kiukweli uwezo wake ni mdogo sana...huwezi linganisha na alivyokuwa kaka yake enzi zile....yaani siku akikutana na bondia kama Mfaume....hakatizi hata raundi mbili.... bondia gani amelegea Kama binti...anarusha ngumi za kike kabisa eti ndio punch.... kujilinda hajui kabisa kila wakati yuko kwenye kamba.....kama anahitaji kuendelea na ngumi nashauri arudi gym kwanza....akatengeneze nguvu...hana nguvu kabisa...yaani kalegea....ndio maana watu wanashangaa utashindaje kwa ulegevu ule.
Ni hivi , huyo Cosmas hatakiwi hata kuitwa bondia , hana hata kigezo kimoja
 
Back
Top Bottom