Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu nimeona aibu sana!Utaambiwa refa alitanguliza mbele uzalendo na maslahi mapana ya Taifa.
Mkuu nimeona aibu sana !
Mambo ya uchumi wa kati hayoHakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote , nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya .
Kwa haya yanayofanyika mchi hii haitoendelea kwenye michezo .
Hapa ndio uwezo wa MATAGA, unapoishia na hapo utajisifu ndio uzalendo!! Kumbe ni ujinga!!!Mwambie Tundu amtangaze uyo Mmalawi kashinda
Kapigwa na Mmalawi hata watoto wameona.
Naapa sintaangalia tena ngumi za kijinga zinazoamuliwa mezani.
Azam achana na ngumi acha wapigane kiboya gizani.
Mimi Ni mzalendo kwelikweli lakini nataka haki ionekane ikitendeka
mtu kadondoshwa live hivihiviNilikuwa sijawahi muona Cosmas akipigana... Jana nimemuona...kiukweli uwezo wake ni mdogo sana...huwezi linganisha na alivyokuwa kaka yake enzi zile....yaani siku akikutana na bondia kama Mfaume....hakatizi hata raundi mbili.... bondia gani amelegea Kama binti...anarusha ngumi za kike kabisa eti ndio punch.... kujilinda hajui kabisa kila wakati yuko kwenye kamba.....kama anahitaji kuendelea na ngumi nashauri arudi gym kwanza....akatengeneze nguvu...hana nguvu kabisa...yaani kalegea....ndio maana watu wanashangaa utashindaje kwa ulegevu ule.
Hapo ni kampeni za CCM zinaamuaHakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya.
Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
Ni hivi , huyo Cosmas hatakiwi hata kuitwa bondia , hana hata kigezo kimojaNilikuwa sijawahi muona Cosmas akipigana... Jana nimemuona...kiukweli uwezo wake ni mdogo sana...huwezi linganisha na alivyokuwa kaka yake enzi zile....yaani siku akikutana na bondia kama Mfaume....hakatizi hata raundi mbili.... bondia gani amelegea Kama binti...anarusha ngumi za kike kabisa eti ndio punch.... kujilinda hajui kabisa kila wakati yuko kwenye kamba.....kama anahitaji kuendelea na ngumi nashauri arudi gym kwanza....akatengeneze nguvu...hana nguvu kabisa...yaani kalegea....ndio maana watu wanashangaa utashindaje kwa ulegevu ule.