Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

Umenifunza kitu[emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I fought the same fight man.

Mimi shida ilikua ni sauti yaan nlikua na sauti nyembamba sana sio kawaida "kama ya mose iyobo ile", kias kwamba nikiongea kama mtu hakugeuka kunitazama anajua ni wa kike... nilitaniwa sana na kiukwel hili jambo lilikua likiniumiza sana, kwanzia shulen had kwa majilan . Hili jambo lilinifabya niwe mkimya sana " sio mtu wa kuongea ongea up to now"

I remember one day nlimfata mama chumban nikamuuliza mama why mimi nina sauti ya kike?
Mama told me hapana hauna saut ya kike ni vile hujakua tu.
Aisee nlifarijika sana.

Nashukuru mungu nlipofika form 3 sauti ilibadilika kabisa hata nkirud likizo home wakawa wanashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipopewa bia/kilevi kamwe hatofurahia harusi ya bint yake maana atakuwa kama mgonjwa, amenyong'onyae muda wote.

Ikiwezekana atajitokea zake ukumbini kwenda mtaani kutafuta kitoko huku akiwaachia sherehe yenu.
Kama furaha Yake baadae italeta aibu unamzuia tu...

Ikishindikana Kabisa unampa limit ya bia kadhaa akimaliza basi asipelekewe tena bia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ni sahihi mzazi ni mzazi tuu mkuu...[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

umenichekesha una match hadi begi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
begi linafanana na sketi ya shule
saa ,shati la shule,raba na soksi vyote vyeupe
mmangamanga afu mzee wangu kazima kituoni[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Em tuwekee kapicha tukuone ulivyo handsome sikuizi.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…