Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

Umenifunza kitu[emoji7][emoji7][emoji7]
Sio rahisi ni vile tu tumepigwa matukio ya kutosha since day 1 mpaka mioyo imeota sugu na tumejifunza kitu kupitia hayo. Kama ni vidole tushanyooshewa sana, kilichobaki ni kuwaonyesha ujasiri, raha ya mtu anaekukosoa ni kuona unasononeka, sasa husononeki unabeba msalaba wetu bila kusita wala aibu. Mwisho wa siku inakua sio habari tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I fought the same fight man.

Mimi shida ilikua ni sauti yaan nlikua na sauti nyembamba sana sio kawaida "kama ya mose iyobo ile", kias kwamba nikiongea kama mtu hakugeuka kunitazama anajua ni wa kike... nilitaniwa sana na kiukwel hili jambo lilikua likiniumiza sana, kwanzia shulen had kwa majilan . Hili jambo lilinifabya niwe mkimya sana " sio mtu wa kuongea ongea up to now"

I remember one day nlimfata mama chumban nikamuuliza mama why mimi nina sauti ya kike?
Mama told me hapana hauna saut ya kike ni vile hujakua tu.
Aisee nlifarijika sana.

Nashukuru mungu nlipofika form 3 sauti ilibadilika kabisa hata nkirud likizo home wakawa wanashangaa.
Nakumbuka nilipokuwa mdogo chini ya miaka 10 People used to tell me that i look like a girl. I was not handsome, I was beautiful, nilivyoongea nilivyotembea na kila kitu. Nilipigana sana kuwaprove watu wrong by doing manly stuffs that were above my age lakini that was not enough and therefore nothing stopped. All eyes and fingers were pointing towards me each day.
I had to survive this shame and pain to build up the guy i am today, sijali maneno au vidole so long as i get something that massages my interest. They built up this beast in me and now they are facing their own ghosts. I simply don't give a F***K

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipopewa bia/kilevi kamwe hatofurahia harusi ya bint yake maana atakuwa kama mgonjwa, amenyong'onyae muda wote.

Ikiwezekana atajitokea zake ukumbini kwenda mtaani kutafuta kitoko huku akiwaachia sherehe yenu.
Kama furaha Yake baadae italeta aibu unamzuia tu...

Ikishindikana Kabisa unampa limit ya bia kadhaa akimaliza basi asipelekewe tena bia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ni sahihi mzazi ni mzazi tuu mkuu...[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

umenichekesha una match hadi begi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
begi linafanana na sketi ya shule
saa ,shati la shule,raba na soksi vyote vyeupe
mmangamanga afu mzee wangu kazima kituoni[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stoey

Story yako inataka kufanana na Mimi kidogo nilipokua mtoto nimefanya vitu vingi ku prove sipo vile wanavyowaza wao, nilikua na sura ya kike so nilikua mgomvi balaa mtu akinichokoza alikua lazima apate kipondo. Nyumbani daily kesi haziishi nimempiga huyu,nimempiga Yule n.k haipiti week majirani wanalete kesi home kuhusu vibinti vyao maana nilikua napita nao hatari.
Yehova anisamehe maana utotoni nimefanya upuuzi mwingi kuwaonyesha watu nina sura ya kike na si matendo. Series yote ya matukio utotoni mwangu yalinifanya nijifunze karate katika umri mdogo nilikua mbabe sana, ubabe usiokua na faida.

Yote kwa yote sitasahau walikuja walimu wa field kutoka butimba TTC pale shuleni kwetu
Nipo class nimekaa backbench kama kaida yangu madam ndio mgeni anafundisha, sijui aliwaza nini but alinifata nyuma akaniuliza "wewe ni wakike au wa kiume"
nilichokifanya nilisimama bila kumjibu hili aone nimevaa suruari.

namshukuru sana Yule madam maana alitokea kunizoea sana na kunipenda pia nilimla sana.

Sijui huko wapi madam janeth nadhani akipitia hapa atakumbuka.
Em tuwekee kapicha tukuone ulivyo handsome sikuizi.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom