Duh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana. Hapo ofisi lazima uione chunguMimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie
Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa
Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
[emoji23][emoji23][emoji23]hatari...ila kweli Mungu anajibu maombi,ntakuja kumaliziaCarlo wa Yesu hapo pa ”mimi na gongo tukasema......” nimecheka hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda stori za hivi next time malizia za hustle ulilokula baada ya kuingia mitini.
Madam you hero...and you know what?your lovely dad taught you what is the meaning of a family...in a family we love each other,we don't judge ...Saint Theresia of Calcutta ever said .."if you judge ...you don't love..."pole sana mkuu.
Kuhusiana na baba, nafikiri mzee wangu anaongoza kwa matukio ya kututia aibu, Huko jeshini kafanya matukio makubwa ya kitukutu yasiyo na idadi, kila tukiamka tulikua tunajiuliza leo atatutia aibu gani,mkisafiri nae usipomzingatia anaachwa na bus kisa kaenda kununua Kitoko
kuna siku nilikua natoka akaniambia nikusidikize mwanangu nikajifikiria mama akamkataza akamwambia utamdhalilisha mtoto barabarani, nikamwambia twende Kamanda wangu Huwezi amini tulitembea umbali mrefu sana Mzee wangu amelewa tiralira tunatembea kama tumetoka kukesha somewhere lakini nikawa na ujasiri mkubwa na iko hivyo mpaka leo. watu wataniheshimu na kunipenda kwa mambo yangu makuu , nmezaliwa na huyu baba siwezi kubadilisha hilo kama ni doa basi ni doa la milele. I can't wait siku nikiolewa mzee wangu anitie aibu ya mwaka ukumbini[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nacheka Kama mazuri,lakini naupata ujumbe wote ndani yakewetu asipokunywa anakua kama amehukumiwa kifo ana nyongea anajikunja
nmemwambia ntampeleka soba Changamoto Bunju [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaahhhhh,noma sana!Aibu tunapambana nazo daily
ila Long time kipindi niko secondary usichana nmechipukia , nimeshuka kituo cha daladala namkuta mzee wangu amelewa mpaka amezima nilijiskia aibu isiyo kifani kidogo nihame home halafu mzee hakuna asiemjua , mi ndo sistaduu nime match mpaka begi[emoji3].
Ila huwezi amini moyo umekufa ganzi kiasi hata saa hii naongozanaga nae amelewa tiralila niko okay tu i dont give a fnck...Nishamchukulia kama alivyo siuchoshi moyo wangu. maana wanasema mzazi ni mzazi tu!
shame is a state of mind
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo huwa yanabadilika kulingana na hali ya hewaDuh mbona leo mwandiko wa kiume wakati mimi huwa nadhani we wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona unavyofanana na dingi[emoji23][emoji23] mzee atakuwa anajiskia poa sanando mana sikai nae meza moja mi nakaa mahala ambazo naweza kumuona , naacha kusherekea namchunga yeye, badala yeye anichunge mimi
maisha yetu ni vise versa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe, habari za USAMambo huwa yanabadilika kulingana na hali ya hewa
That's trueMadam you hero...and you know what?your lovely dad taught you what is the meaning of a family...in a family we love each other,we don't judge ...Saint Theresia of Calcutta ever said .."if you judge ...you don't love..."
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona unavyofanana na dingi[emoji23][emoji23] mzee atakuwa anajiskia poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]saa ingine unakwazika mwisho unaishia kucheka, sikuingine anatetemeka kama generator maana mtu anakunywa pombe mpaka sasa damu inakua kwenye system ya pombe, maana inafika kipindi akiamka mpaka akashtue ndio awe normal
It was not all about looks. It was about everything mpendwa. It was too hard na hadi leo nawaona watoto wengine wakipitia niliyoyapitia. Huwa napasuka moyo hadi kulia yaani lini jamii yetu itakubali diversity and stop tormeting kids who are not fully aware about their own true self.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee.Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie
Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa
Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
ananyamazaga kimya..anajua kwamba kakoseaUnaweza Kumpiga ngumi moja au kumfinya ndio kwanza akaishia kukujazia watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi nimekua mbaya hakuna anaenitaka tena
Ha ha haMimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie
Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa
Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
Teh pole sana boss.Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie
Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa
Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
Ooh masikini I understand...loh Mungu Amsaidie...Yuko mlinzi wa zamani shuleni kwetu,alikua asubuhi ukiwasha kiberiti anaweza kulipuka[emoji23]...yaani Ni spirit...akipumua spirit[emoji3][emoji3]saa ingine unakwazika mwisho unaishia kucheka, sikuingine anatetemeka kama generator maana mtu anakunywa pombe mpaka sasa damu inakua kwenye system ya pombe, maana inafika kipindi akiamka mpaka akashtue ndio awe normal
Sent using Jamii Forums mobile app