Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
Duh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana. Hapo ofisi lazima uione chungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carlo wa Yesu hapo pa ”mimi na gongo tukasema......” nimecheka hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda stori za hivi next time malizia za hustle ulilokula baada ya kuingia mitini.
[emoji23][emoji23][emoji23]hatari...ila kweli Mungu anajibu maombi,ntakuja kumalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu.
Kuhusiana na baba, nafikiri mzee wangu anaongoza kwa matukio ya kututia aibu, Huko jeshini kafanya matukio makubwa ya kitukutu yasiyo na idadi, kila tukiamka tulikua tunajiuliza leo atatutia aibu gani,mkisafiri nae usipomzingatia anaachwa na bus kisa kaenda kununua Kitoko
kuna siku nilikua natoka akaniambia nikusidikize mwanangu nikajifikiria mama akamkataza akamwambia utamdhalilisha mtoto barabarani, nikamwambia twende Kamanda wangu Huwezi amini tulitembea umbali mrefu sana Mzee wangu amelewa tiralira tunatembea kama tumetoka kukesha somewhere lakini nikawa na ujasiri mkubwa na iko hivyo mpaka leo. watu wataniheshimu na kunipenda kwa mambo yangu makuu , nmezaliwa na huyu baba siwezi kubadilisha hilo kama ni doa basi ni doa la milele. I can't wait siku nikiolewa mzee wangu anitie aibu ya mwaka ukumbini[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Madam you hero...and you know what?your lovely dad taught you what is the meaning of a family...in a family we love each other,we don't judge ...Saint Theresia of Calcutta ever said .."if you judge ...you don't love..."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu tunapambana nazo daily
ila Long time kipindi niko secondary usichana nmechipukia , nimeshuka kituo cha daladala namkuta mzee wangu amelewa mpaka amezima nilijiskia aibu isiyo kifani kidogo nihame home halafu mzee hakuna asiemjua , mi ndo sistaduu nime match mpaka begi[emoji3].
Ila huwezi amini moyo umekufa ganzi kiasi hata saa hii naongozanaga nae amelewa tiralila niko okay tu i dont give a fnck...Nishamchukulia kama alivyo siuchoshi moyo wangu. maana wanasema mzazi ni mzazi tu!
shame is a state of mind

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaahhhhh,noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam you hero...and you know what?your lovely dad taught you what is the meaning of a family...in a family we love each other,we don't judge ...Saint Theresia of Calcutta ever said .."if you judge ...you don't love..."

Sent using Jamii Forums mobile app
That's true
A person who real appreciate you,will walk with you!
amenifundisha kuwathamini watu na kuwakubali kama walivyo sijui kukosoa binadamu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sifanani nae hata kidogo, sisi wote tumefanana na mama yani ukimuona mama umetuona sisi.. Likija swala la watoto huwa lazima wamuulize mzee hawa ni wanao? jibu lake kubwa ni "sasa ni watoto wa ngedere au" kuonyesha kuwa amechukizwa[emoji3] Mungu ana mpango mkubwa sana anajua kila kifuatacho imagine tungefanana nae
Kama nakuona unavyofanana na dingi[emoji23][emoji23] mzee atakuwa anajiskia poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nacheka Kama mazuri,lakini naupata ujumbe wote ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]saa ingine unakwazika mwisho unaishia kucheka, sikuingine anatetemeka kama generator maana mtu anakunywa pombe mpaka sasa damu inakua kwenye system ya pombe, maana inafika kipindi akiamka mpaka akashtue ndio awe normal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tatizo kwa kweli
It was not all about looks. It was about everything mpendwa. It was too hard na hadi leo nawaona watoto wengine wakipitia niliyoyapitia. Huwa napasuka moyo hadi kulia yaani lini jamii yetu itakubali diversity and stop tormeting kids who are not fully aware about their own true self.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
Ha ha ha

Teh pole sana boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3]saa ingine unakwazika mwisho unaishia kucheka, sikuingine anatetemeka kama generator maana mtu anakunywa pombe mpaka sasa damu inakua kwenye system ya pombe, maana inafika kipindi akiamka mpaka akashtue ndio awe normal

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh masikini I understand...loh Mungu Amsaidie...Yuko mlinzi wa zamani shuleni kwetu,alikua asubuhi ukiwasha kiberiti anaweza kulipuka[emoji23]...yaani Ni spirit...akipumua spirit

Nimekuja kumuona,kawa kijana,karejuvinate...kapendeza hanywi pombe Tena

Ajabu sasa[emoji3]...Figo sijui na maini ,wanaugua wanaokunywa soda,hao wenyewe wanakufaga vifo vingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom