Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,733
Duh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana. Hapo ofisi lazima uione chunguMimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie
Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa
Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
Sent using Jamii Forums mobile app