Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Yani serikali ya kiislam inaingia mkataba na serikali ya kilutheri hapa naomba yule mzee anaetetea dini ya mnyazi jukwaa la historia aje !
 
Ghana wako vingine kwa nafasi ya uaminifu kuna mtu aliwaua kwa risasi mafisadi wa Ghana alipoona wanasumbua! lakini kingine inawezeka ikawa gharama zikaongezeka kutokana na bomoabomoa pia iliyopisha hilo daraja lijengwe pia gharama za malighafi kwetu zinaweza kuwa kubwa mfano kokoto hazitoki Dar gharama zingine pia kwetu zinaweza kuwa juu ukilinganisha na Ghana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…