sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.
Wanufauka ni
Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12
Rwanda - Nafasi 6
Afrika kusini - Nafasi 5
Uganda - Nafasi 4
Ni tangu april zilipotangazw hizi fursa lakini kwa hapa kuwa ajenda yetu ya taifa huwa ni Simba / Yanga, Connection, Udaku, n.k ilikuwa ngumu watu kufatilia haya mambo.
Muda huo watanzania ywapo bize na
-Whatsapp, FB, INSTA
ukraine / urusi
-K-Vant
-Simba, Yanga
-Mfikicho
-Diamond, Konde, Kiba
-Kubeti
-Vicoba, Kijora
-Vumbi la Kongo
SOURCE