AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

View attachment 2350547

Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.

Wanufauka ni

Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12
Rwanda - Nafasi 6
Afrika kusini - Nafasi 5
Uganda - Nafasi 4

Ni tangu april zilipotangazw hizi fursa lakini kwa hapa kuwa ajenda yetu ya taifa huwa ni Simba / Yanga, Connection, Udaku, n.k ilikuwa ngumu watu kufatilia haya mambo.

Muda huo watanzania ywapo bize na

-Whatsapp, FB, INSTA
-K-Vant
-Simba, Yanga
-Mfikicho
-Diamond, Konde, Kiba
-Kubeti
-Vicoba, Kijora
-Vumbi la Kongo

SOURCE
OPPORTUNITY: Create jobs, drive trade and investment, advance innovation and technology, and improve the business environment in Africa with grants ranging from $150,000 to $5 million! Find out about catalytic grants available in partnership with the Usaid Africa Trade and Investment Program at Live Grant Opportunities — USAID Africa Trade & Investment Program
 
View attachment 2350547

Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.

Wanufauka ni

Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12
Rwanda - Nafasi 6
Afrika kusini - Nafasi 5
Uganda - Nafasi 4

Ni tangu april zilipotangazw hizi fursa lakini kwa hapa kuwa ajenda yetu ya taifa huwa ni Simba / Yanga, Connection, Udaku, n.k ilikuwa ngumu watu kufatilia haya mambo.

Muda huo watanzania ywapo bize na

-Whatsapp, FB, INSTA
-K-Vant
-Simba, Yanga
-Mfikicho
-Diamond, Konde, Kiba
-Kubeti
-Vicoba, Kijora
-Vumbi la Kongo

SOURCE
Umeiona Zambia hapo? Au Ethiopia?
 
Kwahiyo ni Mnaijeria, Mkenya, mRwanda au Mganda?
Ni muendesha mtumbwi wenye vibwengo.
JamiiForums470129845.jpg
 
Ukijadili mambo muhimu yagusayo jamii wanakuona una mambo ya kizee,they only deals with simple minds!
 
View attachment 2350547

Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.

Wanufauka ni

Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12
Rwanda - Nafasi 6
Afrika kusini - Nafasi 5
Uganda - Nafasi 4

Ni tangu april zilipotangazw hizi fursa lakini kwa hapa kuwa ajenda yetu ya taifa huwa ni Simba / Yanga, Connection, Udaku, n.k ilikuwa ngumu watu kufatilia haya mambo.

Muda huo watanzania ywapo bize na

-Whatsapp, FB, INSTA
-K-Vant
-Simba, Yanga
-Mfikicho
-Diamond, Konde, Kiba
-Kubeti
-Vicoba, Kijora
-Vumbi la Kongo

SOURCE
Mlete mzungu , Mayele
 
Ni vigumu kuamini wizara ya elimu inaongozwa na maprofesa.
Ndio maana tunawadharau mitaani
 
View attachment 2350547

Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.

Wanufauka ni

Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12
Rwanda - Nafasi 6
Afrika kusini - Nafasi 5
Uganda - Nafasi 4

Ni tangu april zilipotangazw hizi fursa lakini kwa hapa kuwa ajenda yetu ya taifa huwa ni Simba / Yanga, Connection, Udaku, n.k ilikuwa ngumu watu kufatilia haya mambo.

Muda huo watanzania ywapo bize na

-Whatsapp, FB, INSTA
ukraine / urusi
-K-Vant
-Simba, Yanga
-Mfikicho
-Diamond, Konde, Kiba
-Kubeti
-Vicoba, Kijora
-Vumbi la Kongo

SOURCE
Ajabu ni kuwa hata wewe unayetushangaa wapenda udaku na uliijua hii fursa, haujapewa mtaji.
 
Back
Top Bottom