Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
ULITEGEMEA UONE MAJENGO MENGI KAMA JIJI ZIM LA DAR AU?Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Mradi wa mrusi utengeneze ajira 4000?Kwenye picha ni trailer tu, movie yenyewe inakuja ===== wanasema mradi huo utatengeneza ajira za watu 4000 moja kwa moja.
Msalime gwajiboy lolKwenye picha ni trailer tu, movie yenyewe inakuja ===== wanasema mradi huo utatengeneza ajira za watu 4000 moja kwa moja. Sijawai kuwaamini CCM kwa data zao za kupika na kupakua.
Kwani na wewe ni mgeni wa siasa za Tz.Mradi wa mrusi utengeneze ajira 4000?
Aibu wewe unaejiita jina la mtu alolaanika duniani na akhera ...wewe ni shetani mweusi periodGharama za kumpeleka huko na usalama ni zaidi hata ya bilioni 2, ni aibu tupu.
Sio mgeni ila lazima udharauliwe kama ukiamini maneno ya namna hiyo.Kwani na wewe ni mgeni wa siasa za Tz.
Uliwaona ng'ombe wa Heche kwenye ranchi yake! ? Ahahahahaha!!!Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Umesema vyema kabisaUmekaa kama CARWASH ya kisasa, hapo hamna hata bilioni 10
We una amini hapo kuna uwekezaji mkubwa?ULITEGEMEA UONE MAJENGO MENGI KAMA JIJI ZIM LA DAR AU?
Mambo ya siasa tu hayo.Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Sasa ulitaka uzinduliwe na Heche au? Oktoba tunatiki hata ukinuna shauri yako😎Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
View attachment 3424816
Kwani Makatibu Kata hawapo? Au hata Mkuu wa Wilaya?Madiwani tushastaafu
Serikali ya Lissu na Heche haitakuwa na mbwembwe za kijinga namna hiiSasa ulitaka uzinduliwe na Heche au? Oktoba tunatiki hata ukinuna shauri yako😎